Waziri Prof.Mkenda, umekwepa Maswali Bungeni unatuachia hatari wakulima wa Vanilla nchini

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF.

Waziri wa Kilimo Mkenda ameonyesha ubingwa wa kukwepa maswali au kutoa majibu mepesi kuhusu mikakati ya kuimiza na kuboresha zao jipya la vanilla katika kuleta maendeleo ya nchi na wakulima, yeye jinsi alivyojibu unaweza Ukakaa chini ukalia. Yale matatizo wapatayo wakulima wa korosho ndio majibu aliyoungia badala ya kudili na zao aliloulizwa, inawezekana hana taarifa na zao hili yumkini, hivyo akachukulia kirahisi hivyo.

Kwa ufupi zao la vanilla linaweza kuwa mkombozi kwa wenye uwezo wa kati na juu kwani linahitaji gharama fulani wakati wa maandalizi. Hakuna sehemu aliyoonyehsa hindi ya kuwajari wakulima kwa kuwapanmikopo nafuu. Wakulima wa zao hili hawakuwahi kupata support3 popote zaidi ya kutumia nguvu zao kulima na kuvuna kisha kujitafutia soko. Hivyo kimetokea makampuni mengi ya uwanja uwanja yanawapiga sana wakulima wa zao hili ukilinganisha na soko la Dubai. Tanzania tumeishi law kukariri Mazda fulani ya biashara huku tukiacha uvumbuzi mpya wa Mazda mengine yanajitokeza kuwa mazao ya biashara.

Mkoa wa Kagera kuna kampuni za kihuni sana, wanaingiza wakulima kwenye rwja na kuwafungisha mikatana ya mauziano. Wakati wa mavuno watu hawa upanga kiwango kidogo, kwa kuwa kulima hana jinsi na anavuna Michigan inabidi kuwa poleni achukue bei yeyote.
 
Hili zao ni la thamani sana. Naona Uganda wakulima wa vanilla wanalinda mashamba yao na Bunduki.

Mbali na vanilla mkuu mgt software nakumbuka GA avatar picha yako ya mwanzo yenye sura ya nusu mbwa nusu mtu.
 
Aya za mwisho mwisho aliyeelewa anisaidie

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Hili zao ni la thamani sana. Naona Uganda wakulima wa vanilla wanalinda mashamba yao na Bunduki.

Mbali na vanilla mkuu mgt software nakumbuka GA avatar picha yako ya mwanzo yenye sura ya nusu mbwa nusu mtu.
Bila mikuki na mishale uvuni kitu, wanaiba hata marando, lando moja linauzwa elf3
 
Kuna yule jamaa wa njombe anahamasisha watu kuwekeza kwenye vanilla
Tupeane muda tu ipo siku utaskia kilio cha mbwa koko
Ninamfuatilia kwa makini mie kama mkulima halisi niliwa kumuuliza maswali mengi hakuyajibu. Hata jana katika vanilla village kuna maelezo mengi kuliko uhalisia.
 
Back
Top Bottom