muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 13,372
- 9,802
Katika hali ya kustajabisha na kushangaza aliyekuwa Mkurugenzi wa kiwanja cha ndege JNIA Ndugu Paul Rwegasha amerudishwa tena kwenye nafasi hiyo.
Huyu aliondolewa kwenye nafasi hiyo kutokana na kukabiliwa na shutuma mbalimbali zikiwemo.
1. Kusababisha kiwanja kushushwa Category kutokana na mpungufu aliyaona mkaguzi kutoka ICAO
2. Kuendesha ofisi kimakundi
3.Ubadhirifu
4.Kuwa na mahusiano mabaya na zimamoto
5.Jengo la abiria kuwa na hali mbaya.
Hivi hakuna mtanzania mwingine anayeweza kushika nafasi hiyo zaidi ya kurudia haya matapishi?..