EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
- Thread starter
- #21
Napigwa na wasi wasi inawezekana ni yeye mwenyewe anataka kuibia pesa wizara yake,kwa vile ameshaburunga burunga huko south Africa anajua ya kwamba wakati wowote atapokonywa wadhifa wake ni bora achukue chake mapema.
Kwa vile ubongo wake ni sawa na utomvu ,inawezekana anapata shida sana katika kunyakuwa fedha za serikali,hiyo ndio njia ya kujisafisha kwa wananchi kwa vile ameshtukiwa anataka kuibia fedha wizara yake.
Hana lolote huyu Minista ofu Educationali endi Vocationali Trainingi hahahhaha
Anajaribu kupoteza upepo wa presentation yake ya kule Sauzi
Someni thread kabla ya kuchangia.
Suala la kutapeliwa lilitokea kabla ya kuchemsha kule Afrika Kusini.