Waziri omar nundu lazima una matatizo ya akili-uteuzi wa ceo atcl | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri omar nundu lazima una matatizo ya akili-uteuzi wa ceo atcl

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 14, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Unajua mama yangu alinifundisha chizi sio lazima ushike makopo mwanangu ukikosa ufahamu ni ugonjwa
  zaidi ya uchizi na heri yule anaetupa makopo akipewa dawa anatulia lakini hilila ufahamu hata unyweshe
  dawa ya babu ni ngumu...
  Mh nundu amemteua mh mmoja aitwae bw paul chizi akuna asiejua huyu bwana awakati nundu akiwa atc enzi hizo
  walikuwa wanauza tkt za atcl kama daladala kule south africa na pesa aziingii kwenye account ya atcl
  si hivyo tu huyu nundu ndie aliesema shrika limearibika atateua management imara sasa anatueletea mwizi
  asiejua hata maana ya kubakiza ya kesho si bora wamrudishe david wetu nahisi huyu waziri ana matatizo ya akili tena
  makubwa nasema hivi na ukamwambie ajue hilo hivi sasa ameaanza kuchanganykiwa anapoelekea soon tutampeleka
  doodoma mirembe hivi atcl imekosa kweli ceo mtanzania anaejua mambo ya ndege mwenye kuheshimu mali za serikali na watanzania sidhani
   
Loading...