Waziri Nyalandu awekewa Bodigadi?!

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,225
869
Nimeskia asubuhi kwenye uchambuzi wa magazeti asubuhi kwamba Nyalau amewekewa Bodigadi (Mlinzi) anayejua taarifa hii kwa kina atusaidie imekaaje hii wadau?!
 
si aliambiwa na watu wa marekani kuwa anafaa kuwa raisi wetu. by the way hata Diamond ana bodigadi
 
Mwizi mkubwa huyo. Mpaka atoke wizara ya Maliasili atakuwa keshaua kila kitu. Sijui ana biashara gani na Mkwere
 
Kabla hata ajatangaza huo ----- wake niliwahi kumuona Nyalandu akivushwa barabara kwa kushikwa mkono na huyo body guard wake.
 
si aliambiwa na watu wa marekani kuwa anafaa kuwa raisi wetu. by the way hata Diamond ana bodigadi

Kweli Sikuhizi Urais Umekuwa Biashara Ya Rejareja Kila Mtu Anaweza Fanya.Wamarekani Wanamfadhili Hivyo Anaona Kila Kitu Rahisi.
 
Ndio cabinet ya JK hiyo. Muhongp naye kamwaga kufuru ya matumizi huko kwake Mara. Chaajabu zote ni gharama za wizara kwa manufaa binafsi! Nchi imevaa magunia.
 
Halafu Kuna Habari Zilizo Chini Ya Kapeti Kuwa Nyalandu Ni Shushushu Wa Marekani Ndio Maana Anapata Kiburi Maana Anapata Ufadhili Kutoka Marekani.Kuna Ukweli Kwenye Hili?
 
Ndio cabinet ya JK hiyo. Muhongp naye kamwaga kufuru ya matumizi huko kwake Mara. Chaajabu zote ni gharama za wizara kwa manufaa binafsi! Nchi imevaa magunia.

Kwani Huyu Naye Anataka Urais Au Yuko Nyuma Ya Mtu Kama Pinda? Maana Mtoto Wa Mkulima Amewekwa Kama Chambo Tu!
 
Kwa anayowafanyia watanzania, na ameshatambua kuwa watu wameshajua janja yake huyo bodigurd atakuwa kamuajiri yeye mwenyewe, na hii habari yeye ndio kaipeleka kwenye vyombo vya habari akitegemea watu watamuogopa, fisadi sana sasa anakimbia hata kivulichake, atatumia mchezo wa ngumi za kitoto" SIKUOGOPI NJOO SASA " huku amakunja mikono halafu anaruka ruka na kurudi nyuma, badala ya kumfuata anaemtisha, jinga sana hili.
 
Halafu Kuna Habari Zilizo Chini Ya Kapeti Kuwa Nyalandu Ni Shushushu Wa Marekani Ndio Maana Anapata Kiburi Maana Anapata Ufadhili Kutoka Marekani.Kuna Ukweli Kwenye Hili?

Ni Kweli,ni Wakala Wa Kutegemewa Wa CIA,wapo Wengi Tu,na Rostam Aziz Pia Yumo.Wengine Wapo Hadi Ikulu,chezea Marekani Wewe?
 
Acheni porojo, ingekuwa ni wizara angepewa polisi, ukiona sio polisi basi jua no bodigadi wake binafsi.

By the way, bodigadi mbona kitu cha kawaida sana, maana ata mie choka mbaya siku za weekend ninapoenda out lazima niwe na bodigadi.

Na mabodigadi kwa hapa ni bei ndogo sana na wengine hulipwa kwa chakula na ata kinywaji, tofauti tu wakati wewe unakunywa bia yeye anapiga nyama choma n.k alafu wewe ukirudi home yeye anarudi sana kutandika bia.

So wala sio issue hiyo, kwa mtu kama yeye ni muhimu kuwa na mtu kama huyo akiwa kwenye safari zake.
 
Back
Top Bottom