Waziri Nyalandu, adhalilisha waandishi wa habari Singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Nyalandu, adhalilisha waandishi wa habari Singida

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MADORO, Jan 7, 2012.

 1. M

  MADORO Senior Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naibu waziri wa Viwanda na Biashara amewadhalilisha waandishi wa habari, kwa kuwahadaa wasafiri toka Singida Mjini hadi Ilongero, Kama Km 30 hivi tena katika barabara mbovu sababu ni tope na hakuna lami na sasa kuna mvua. Amewahadaa akaonane nao eti alikuwa na kikao cha kuzungumza na wadau wa elimu. Baada ya kubaini kuwa angeulizwa maswali kuhusu kudanganya kuwa anasomesha watoto aliondoka kinyemela, waandishi wakashinda mchana kutwa baadaye wakaambiwa hayupo. Tangu kuchapishwa habari za yeye kudhalilisha watoto kwa kuwapeleka Arusha kwa kuwaonyesha wazungu, huku akiwa na Uraia wa nchi mbili anaingia kinyemelanyemela. Poleni waandishi wa Singida
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Waandishi wa habari wa Tanzania ni hovyo sana kili anapoenda Nyalandu au Magufuli mnakuwepi kuna nini?
   
 3. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  He is just another mchumia tumbo from magamba.
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hakuna lolote hapo, waandishi wetu tunawajua wanacholilia ni posho tu! Wamedhalilishwa nini? Kupita kwenye barabara ya matope; kwani wao akina nani kwani wanaoishi huko si watu?

  Hizo ni posho tu sioni kudhalilishwa kwingine!
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  wakome
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Wananunulika kirahisi hao, buku tano kwisha watakufuata kama mbwa aonavyo chatu!
   
 7. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Siku zote mti wenye matunda ndio hupopolewa kwa mawe,acheni siasa za maji taka,kwanini sasa ndio nyalaandu anonekana kuwa target?kuna nini kimejificha hapa katikati,je ameanza kuonekana tishio kwa watu wenu???
   
 8. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Waandishi wazoefu wangezoma alama za nyakati hii inatokana na njaa kali ya waandishi wetu
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mods nadhani hii inastahili kuwepo kwenye jukwaa la siasa lakini naona mmeiondoa!
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,726
  Trophy Points: 280
  waandishi wenyewe wana akili kama za nyalandu sioni cha kuchangia nimsaidie nani
   
 11. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sasa atakuwaje waziri huku ana uraia wa nchi mbili?
   
 12. P

  Paul Makonda Verified User

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hivi manywele anakulipa sh ngapi,kwani kazi yako sikuzote kuandika utumbo,wewe ni msemaji wa chama cha waandishi wa habari.
   
 13. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,441
  Likes Received: 10,647
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi kaja upande wa pili
   
 14. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,441
  Likes Received: 10,647
  Trophy Points: 280
  Kumbe toka 2012 huu utetezi ulikuwa wa style hii hii?!
   
Loading...