Waziri nundu na kampuni ya ndege ya tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri nundu na kampuni ya ndege ya tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kukumdogo, Jun 1, 2011.

 1. kukumdogo

  kukumdogo JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 689
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 80
  waziri omary nundu aliyejichukulia umaarufu kwa wageni kutoka nje kwa kauli zake za kutaka kampuni ya atcl ife sasa imeingia sehem nzuri. Juzi waziri aliambiwa na kamati ya bunge akarekebishe budget ili atcl na trl wapewe hela ila aligoma na kusema ataipeleka bungeni hivyo hivyo. Ni aibu kubwa sana kwa kiongozi kama huyu kupewa virushwa vya kipuuzi ili kuua makampuni ya ndani.

  Kabla hajawa waziri atcl ilikuwa inarusha ndegezake vizuri tu na trl ikawa ina safirisha abiria ingawa mara moja moja, ila baada ya kuingia kaua makampuni yote na hakuna kinaco endelea hadi sasa.

  Mwezi wa tano wammemchagua kaimu meneja ambae ni mbumbumbu kabisa kisa ni kutoka kwao tanga ambae hana uwezo wa kusimamia shirika.


  Kauli za waziri za kutaka kuinua private sectors na kuua government sectors zinashangaza kwasababu yeye ni mtu wa serikali na lazima asimamie mambo ya serikali yaende sawa. Nani amewahi kusikia waziri wa usafiri na uchukuzi kenya akasema hayupo kwa niaba ya kenya airways?


  May alikutana na wawekezaji waliokuwa wanania ya dhati ya kuwekeza na walikuwa wako tayari ila yeye nundu akawaambia wasiwekeze sababu anazijua mwenyewe. Waziri huyu anakera sana kwakweli.
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  hivi huyu nundu kaibukia wapi? anatafuta umaarufu ili ajulikane,maana haieleweki alipotokea. omary nundu,mhhh!!! wanajf kwa anayemfahamu utupatie hata profile yake kidogo.
   
 3. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  ndugu Nundu anaijua atcl kuanzia chooni mpaka bafuni na kwa kukusaidia tu hana baya na atcl..kilichotokea na ambacho ataki kitokee mikononi mwake ni upuuzi aliouanzisha mh kawambwa ..kama ni kuua ATCL Kawambwa shukuru waziri wa elimu ameizika rasmi...huyu bwana akuna jipya alilokuwa ajapelekewa kuhusu uhuni na uchafu wa atcl..akuna nakwambia aliishia iko mezani tunashugulikia na mbaya akipelekewa info genuine anamwita bwana mkubwa anakutaja ulifika muda fulani ukamsaidia kumpa hizi info...huyu nidie sarakani yan ATCL..SAmahani kumwita hivyo

  Kilichomwogopesha Nundu Omar ni kwamba waheshimiwa msaidie kwa hili aliomba apewe matumizi ya hizo hela zinazotoka huko hazina ikawa mgongano maana kuna watu hazina wameshirikii kuiua ATCL na kila mgao unaotoka ATCL walikuwa na share yao..sasa kilichotokea kwa kawambwa naomba niweke wazi ATCL MANAGEMENT ILIPELEKA INAITAJI BILLION 2.5 ILI IANZE KURUSHA NDEGE IKAPEWA BAADA YA MWEZI MMOJA WAKARUDI HAZINA ZIMEISHA KISA WAMELIPA MADENI YA KAMPUNI..NAKWAMBIA HIVI KAMA UNA MTU HAZINA WAHI AKAKUPE INFO NINAZOKWAMBIA...BAADA YA KUKAA MUDA NA KUKOMALIWA WAKAUZA NDEGE MILLION 900 ILE BOIENG 737/200 ILE HELA NENDA PALE ACCOUNT AIKUFIKA WIKI ILIGAWANYWA KWENYE MADENI GAFLA...SERIKALI WAKASHTUKA LAKINI HIYO AIKUSAIDIA WAFANYAKAZI WAKAAKAA KUTOLIPWA MISHARA YAO WALIPOONA AIBU YAMISHARA WAKAOMBA ATCL MANAGMENT WAATUME PROPOSAL YAO WANAITAJI SH NGAPI NDEGE ZIENDELE KURUKA WAKAOMBA BILLION 7.5 WAKAPEWA KWENYE TWO INSTALLMENTS..NAKUHAKIKISHIA HIKI NDICHO KILIKUWA KIFO RASMI CHA ATCL..ZILE HELA ZILIFAYA KAZI YA KULIPA WAH PER DIEM HUYO BWANA MKUBWA ALIEONDOKA AMEONDOKA NA SH SI CHINI YA MILLION 117.7 ZA PER DIEM KWA MUDA WA MWAKA MMOJA....UKIACHA WENGINE WALIPOONA JAMAA ANARUKA OVYO NAO WAKAAMUA KUTENGENEZA VISAFARI VYAO ..NAKWAMBIA NI AIBU... ...KAMA MTAALAMU WA NDEGE UNAJUA KAMPUNI GANI AINA EMEREGENCY FUND,..YAANI HATA IKITOKEA DHARURA AWANA CHA KUFANYA TATIZO WLILILOTOKEA ATCL NI KILA MTU ALIKUWA ANAKULA CHAKE MAPEMA NA WALIPOHAKIKISHIWA SHIRIKA LINAKUFA AKUNA RANGI WALIOACHA KUIONA ...

  SAA BASI NUNDU ANAOGOPA MSALABA WA KAWAMBWA USIMPTIE NA YEYE NI PROFFESSIONAL WAELEZE WANAOMBA BILLION 23 AMA 40 ZA NINI NA ZIKIENDA TOFAUTI ZIFWANYWAJE???HAPO NDIPO MSALA UKAPISHANA NA WALA SI VINGINEVYO

  BWANA AMETOA ....
   
 4. a

  allydou JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,484
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280

  ..........kawambwa ametwaa
   
 5. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  aaaaaahaaaaaaaaa na Bwana Nembo umemsahau kuna umuhimu wa kuwa wabunifu jama kaondoka na million 200 just kubuni nenmbo ya kampuni babu kubwaa libya naipenda nchi yangu
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,330
  Likes Received: 19,497
  Trophy Points: 280
  na kikwete
   
 7. Zumbukuku

  Zumbukuku Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbona unajichanganya mwenyewe.. Mara Nundu anaua ATCL .. mara kaimu meneja ni mbumbumbu..Mara ATCL ilikuwa inarusha ndege vizuri.. Mbona ATCL ilishakufa miaka mingi iliyopita zaidi hata ya 10... ATCL kumiliki short range Boeing 737 mbili zilizochoka ndio uhai unaouongelea...Hebu angalia wenzetu .mfano..hata visiwa vidogo vya madagasca wana fleet ya ndege 17 zikiwamo Boeing 767 Extended Range mbili.. http://en.wikipedia.org/wiki/Air_Madagascar....au tembelea website yao kuona wanavyochangamkia tenda..http://www.airmadagascar.com/... ATCL website imekuwa under construction for ages..National Flaship haina hata web..site? Kalagabaho!
   
Loading...