Waziri nundu;bodi ya atcl ni haramu.tunaomba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri nundu;bodi ya atcl ni haramu.tunaomba mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Wakaati watanzania mkishangaa kuona kampuni ya atcl ikiwa icu ndani ya oxygen msishangae kuwambiwa kampuni kubwa kama hii tangu 31April 2010 imekaa bila kuwa na bodi maalum..wakati hili likiendelea bodi iliopita imeshakaa vikao zaidi ya 8 mpaka sasa wakijiingizia emergency meeting na kujigawia doller 500 kila mtu huku mh nyanganyi mwenyekiti akijigawiwa doller 750 ikiwa na watu 10 baada ya mmoja kufariki mwaka jana

  mha nundu rekebisha kwanza huu upuuzi wa kutokuwa na bodi halali uje kuangalia utalisaidiaje unajua hata wazungu wanakuja kuwekeza wanacheka kama mnashindwa kujioganaizi wenyewe

  hivi hayo majina yanawaumiza kichwa tupen email tuwasaidie msituletee wapumbavu ama wapuuzi kama wa ewura tutakufa na nyie kama sio wewe kuondoka kabla
   
Loading...