Waziri Ngeleja hebu kuweni waungwana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Ngeleja hebu kuweni waungwana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Nov 21, 2008.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Uamuzi huu wa serikali ni mzuri lakini wakati mwingine wawe waungwana kusema kwamba walizinduliwa na Thisday na pengine wangewaalika katika huo mkutano na waandishi wa habari. Kinyume ni kwamba wamefanya bila kuwaalika na hapo hapo wamejenga chuki na Thisday na Kulikoni. hii nchi jamani tuna safari ndefu. Mwaka mmoja baada ya THISDAY kuandika habari husika ndio wameibuka na kujiunga kimya kimya!!!!

  SOURCE: TheCitizen Newspaper  SOURCE: ThisDay
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,172
  Trophy Points: 280
  20.11.2008 @23:11 EAT

  Dar seeks to benefit from its minerals
  By The Citizen Correspondents

  The Government has joined the International Extractive Industries Transparency Initiative (EITI) to see how Tanzania could benefit more from its mineral resources.

  This was said yesterday by the minister for Energy and Minerals, Mr William Ngeleja, at a press conference in his office in Dar es Salaam. With him was his deputy, Mr Adam Malima.

  Mr Ngeleja said the Government had joined the initiative because its objective was to empower Governments and investors in resource extractive industries.

  The ultimate objective is to be transparent in their earnings and use of the profits from their activities, he said and continued:

  "We are joining the initiative to expand our ability to curb mineral resource manipulation not because we cannot currently, but we are enlargig our capacity."

  �He said EITI was an important instrument that had 22 members. It could empower the Government to implement its declaration to facilitate good governance and supervision of the mining sector.

  He said by joining the initiative,Tanzania would get an opportunity to exchange expertise and explain all that is earned from the mining sector.

  He said the sector included minerals, gas and oil (if discovered) as important and able to bring forth development.

  "Transparency with earnings from the sector in line with EITI�s plans will help ensure that mineral resources benefit the country in question instead of being a burden to its citizens," he said.

  Mr Ngeleja said the sector had in the past proved that it could significantly contribute to the country's income.

  He said production of gold had grown from five tonnes in 1999 to 50 tonnes in 2007, a 38 per cent increase. This made Tanzania the fourth gold producer in Africa.

  He said the mining sector contributed greatly to the country�s foreign exchange but its contribution to the country�s GDP was still small.

  He further said that the Government was in the process of preparing a mineral law and policy to be ready by next April.
   
 3. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #3
  Nov 21, 2008
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160

  Kamati ya Bomani ilipendekeza Tanzania kujiunga na EITI na pia tuliwaita watu wa EITI katika kamati ili waeleze wao wanafanya nini hasa. Thisday played its role as it alwyas does. Halisi kudos
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Nov 21, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Serikali ikionesha ni wapi imepata mawazo au hata kukiri kuwa mawazo hayo yametoka nje ya serikali itaonekana dhaifu.
   
 5. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,842
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  Huu ndiyo ugonjwa wetu mkubwa sana, watu waliopo Serikalini wamejaa ukiritimba mkubwa, sijui tutatoka vipi kwenye hili shimo.

  Mwaka 1992 baada ya report ya Bruntland (The Agenda 21), Serikali alihubiri sana masuala ya bottom-up approach. Serikali ilikwenda mbali zaidi kwa kuanzisha mipango ya kupata mawazo ya wananchi na wadau mbalimbali kama vile Fursa na Vikwazo (O & OD), Mkurabita, Mkukuta, Sustainable Cities Programme, LGRP (Maboresho ya Serikali za Mitaa) nk.

  Lengo la programme hizi lilikuwa ni kuondoa dhana ya kwamba Serikali ndo kila kitu na kupanda dhana ya kwamba vitu huanzia kwa wananchi na Serikali inatekeleza. Sasa ni miaka zaidi ya 15 bado mambo ni yale yale kwamba wananchi ni wapokeaaji tu, na inapotokea kwamba wananchi wanaibua fikra nzuri basi Serikali itaipinga au itaikubali kimya kimya bila ku-acknowledge yaani kuwatia moyo wananchi na wadau ili waendelee kuibua vitu.

  Tatizo faida za kisiasa zimepewa kipaumbele mno.
   
Loading...