Waziri Ngeleja Akabidhi Sasa Funguo Za Ofisi Ya Serikali

Umenena vyema ndugu. Siasa za TZ zina mambo ya ajabu kabisa....mimi naona hata wabunge kuikataa bajeti ya wizara ya nishati na madini na kuitaka serikali ijipange vyema ni mchezo wa kuigiza tu.
Kama sikosie (ruhusa kusahihishwa) bajeti ya kila wizara uwa inajadiliwa kwanza katika level ya kamati husika! Kwa case hii, ni kamati ya nishati na madini; sasa kamati hiyo ilipaswa iikatie bajeti hiyo mara moja kwa vigezo ambavyo waziri mkuu alivisema wakati ikitoa hoja ya kuhahirishwa kwa majadiliano ya bajeti hiyo.
Kama kamati iliipitisha bajeti hiyo na kisha wabunge (ambao wengine wamo kwenye iyo kamati) wakaikataa bajeti hiyo, basi hapa kuna mushkeri!! Au ndio uwezeshaji wa ndugu Jairo ulifanya kazi?!

Kamati inapaswa kuwachunguzwa pia na kuwajibishwa kwa mujibu wa kanuni kama ikibainika kuna foul plays!!

Asilimia ngapi ya wanakamati wakikubali ndo bajeti inapita katika kamati?? Yawezekana sio wote wanakamati wamekubali bajeti ipite? Hawa kenge ndo walio kwenye msafara wa mamba ndo wa kuvua ubunge na kenge wengine wizarani wafungwe gerezani....
 
Tumuombe Dr. Hoseah afanye uchunguzi haraka sana ili tujue ni akina nani walipokea rushwa ya kuwalainisha ili budget ipite kwenye kamati. Hii wizara imejaa milungula kwani hata wamiliki wa vituo vya mafuta huwa wanachanga na kwenda kuwahonga wabunge ili mambo yao yaende shwari. Sasa tutajua mbivu na mbichi. Lazima watu wawajibike na kuchukuliwa hatua za kisheria bila huruma. naona ukombozi wa nchi upo inchi chache toka tulipo.
 
Naombeni majina ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini
1: Ngeleja
2: Malima
3:
4:

Mwaka huu tutasilkia mengi kutoka kwa magamba acha yamalizane yenyewe kwa yenyewe lii waitengezee njia nzuri, CDM kuchukua nchi 2015
 
Tumuombe Dr. Hoseah afanye uchunguzi haraka sana ili tujue ni akina nani walipokea rushwa ya kuwalainisha ili budget ipite kwenye kamati. Hii wizara imejaa milungula kwani hata wamiliki wa vituo vya mafuta huwa wanachanga na kwenda kuwahonga wabunge ili mambo yao yaende shwari. Sasa tutajua mbivu na mbichi. Lazima watu wawajibike na kuchukuliwa hatua za kisheria bila huruma. naona ukombozi wa nchi upo inchi chache toka tulipo.
Tatizo simuamini sana Dr Hosea. Ametumika kusafisha scandle nyingi na rushwa za kutisha. Tanzania tungekuwa na TAKUKURU ingewezekana.
 
Ngeleja lazima naye atimuliwe kwani lazma alimpa baraka zote huyo katibu wake jauro!
 
Mbona viongozi wetu ni wagumu hivyo kuachia madaraka? Ngeleja anadhani ni sifa kung'ang'ania. Ngeleja f.u.c.k u!!
 
"Wabunge wamegeuka wamekuwa wakali sana na hawataki kusikia cha mtu, wamesema lazima leo (jana) ikifika saa 11 Jairo awe amefukuzwa kazi, hawataki kumuona kabisa," alisema mmoja wa wabunge waliohudhuria kikao hicho.Mbunge huyo alisema Waziri Ngeleja na Naibu wake, Adam Malima pia walitakiwa wajiuzulu kwa maelezo kwamba: "Haiwezekani wasiwe wanafahamu chochote kuhusu mkakati huo wa katibu wao mkuu katika wizara wanayoiongoza."

"Hawawezi kujivua lawama, hata hao tumewataka wajiuzulu, ina maana gani kama barua nzito namna hiyo Waziri na Naibu wake hawazifahamu, haiingii akilini kabisa," alisema mbunge huyo.

ttatizo siyo ngeleja.......................tatizo ni JK..............hivi yeye anapoteua viongozi goigoi............yeye uwajibikaji wake uko wapi?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Jamani watu kukaa Dodoma kwa siku mbili tu watumie TSh 1bn/-, hayo si maajabu wandugu? Halafu fedha za kununua mitambo ya dharura ndio hakuna, za "per diem feki" (yaani hongo) ndio hazikosekani! Ama kweli Tanzania imelogwa, si bure!

Lord Justce may be 2 days price tag is 1billion shs !!
 
Back
Top Bottom