Waziri Ndugulile wajibika na achia ngazi

Pamoja na kwamba bei ya vifurushi vipya imesimamishwa, bado ndugulile unapaswa kuwajibika binafsi.

Unapowahadaa wananchi mbele ya hadhara kwamba unaenda kurekebisha na kuleta nafuu kwenye vifurushi, halafu ghafla unapandisha vifurushi kiharamia, sijui unataka tukueleweje!?

Umetudharau au umetuona wapumbavu?

Hauaminiki na haustahili kukalia ofisi ya umma.

Hatuhitaji viongozi wadanganyifu na walaghai wanaotapeli watu kwa ujanja ujanja na maneno maneno.

Ukakimbia kwenda kujifungia chumbani kwako ukajitungia vikanuni vya kidhalimu ili kuhalalisha utapeli?

Unafanya hayo kwa faida ya nani?

Kwanza, Kanuni zenyewe ni unconstitutional and ulravires. Haziendani na sheria za bunge za mawasiliano na habari.

Hii inaonesha ni kwa namna gani ulivyo incompetent na mdanganyifu.

Unafanya conspiracies za utapeli sijui kwa maelekezo ya nani? Nani alikutuma kufanya huo uovu? Halafu unatuhadaa.

Siku zote nilijua watu wenye vichwa vikubwa wana akili nyingi, kumbe wewe ni exceptional case?

JIUZULU NA UOMBE RADHI.
Pamoja na Waziri pia TCRA waondoke kwa kushindwa kushauri waziri na kuacha kutusimamia sisi ambao ndio waajiri wao,tunaombe Easter Monday iishe haraka ili Jumanne tuwe siti ya mbele kabisa , amesahau kama aliwahi kufukuzwa na karudi kwa bahati tu ,hawa ndio wanataka kumvuruga mheshimiwa raisi,hii wizara ishamshinda tayari,maneno mengi kama Jafo!
 
Daaah ATA hiyo elfu kumi ntaipatia wapi
Screenshot_20210403-135000~3.jpg
 
Pamoja na kwamba bei ya vifurushi vipya imesimamishwa, bado ndugulile unapaswa kuwajibika binafsi.

Unapowahadaa wananchi mbele ya hadhara kwamba unaenda kurekebisha na kuleta nafuu kwenye vifurushi, halafu ghafla unapandisha vifurushi kiharamia, sijui unataka tukueleweje!?

Umetudharau au umetuona wapumbavu?
Yule Waziri ni zero kabisa, sielewi kwanini anaendelea kuwa hapo
 
Pamoja na kwamba bei ya vifurushi vipya imesimamishwa, bado ndugulile unapaswa kuwajibika binafsi.

Unapowahadaa wananchi mbele ya hadhara kwamba unaenda kurekebisha na kuleta nafuu kwenye vifurushi, halafu ghafla unapandisha vifurushi kiharamia, sijui unataka tukueleweje!?

Umetudharau au umetuona wapumbavu?

Hauaminiki na haustahili kukalia ofisi ya umma.

Hatuhitaji viongozi wadanganyifu na walaghai wanaotapeli watu kwa ujanja ujanja na maneno maneno.

Ukakimbia kwenda kujifungia chumbani kwako ukajitungia vikanuni vya kidhalimu ili kuhalalisha utapeli?

Unafanya hayo kwa faida ya nani?

Kwanza, Kanuni zenyewe ni unconstitutional and ulravires. Haziendani na sheria za bunge za mawasiliano na habari.

Hii inaonesha ni kwa namna gani ulivyo incompetent na mdanganyifu.

Unafanya conspiracies za utapeli sijui kwa maelekezo ya nani? Nani alikutuma kufanya huo uovu? Halafu unatuhadaa.

Siku zote nilijua watu wenye vichwa vikubwa wana akili nyingi, kumbe wewe ni exceptional case?

JIUZULU NA UOMBE RADHI.
INATOSHA
 
Back
Top Bottom