Waziri ndani ya TBC azungumzia ATCL

fredmlay

JF-Expert Member
Apr 30, 2008
1,849
388
Waziri wa miundombinu asubuhi akihojiwa TBC kasema Kenya aliwashauri ili Kenya Airways isianguke watafute shirika la kuungana nalo na ndio maana KQ Imefanikiwa
Wana jamvi mwaionaje hii, waziri kusifia maendeleo ya wenzetu kwamba ni mawazo yake na hapa ameshindwa kuisaidia serikali yetu, hivi tuna ze comedi au viongozi?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom