Daa hawa jamaa kweli wanashagaza sana na serikali inawachekea.Tuliandaliwa kama miaka nenda rudi, Mwaka huu eskepu wani. Ni mambo ya kikubwa huko tunalewa kuvaa kama wasiokuwa na wazazi.Huwa tunaandaliwa hii kitu na kampuni kubwa sana. Tunaomba usiifute tunajiandaa kwa likizo ya Juni.
nimelewa sana kwenye bash shule nyingi tulikutana, wengine na videm vyao.hapa kazi tu, waaalimu wanatubania waisome namba,haya ndio mabadiliko tuliyosubiri.wazazi kutufungulia milango saa tisa usiku.Kidumu chama chetu.Daa hawa jamaa kweli wanashagaza sana na serikali inawachekea.