Waziri ndalichako fuatilia hawa mwalimu Gunda na kabole wa korogwe chuo cha ualimu

Aah teacher!Usiwashurutishe watoto wetu unajua siku yako ikifika utaharibu maisha yako bure!
Acha ujinga mtu anaweza kutumia social media kukuchafua tu kisa umejenga nyumba Kama hizo tuhuma zipo Kuna mamlaka zao za nidham jamiiforums sio mamlaka ya nidhamu ya walimu wetu by the way ikionekana sio kweli unaweza kupima damage uliyomsababishia? Unaijua coverage ya jf wewe? Tumia busara wewe mpumbavu usiharibie watu maisha nonsense!!
 
Kulikuwa kuna haja kweli ya kuleta malalamiko yako hapa JF?
Je hakuna njia nyingine rasmi ungeweza chukua?
Je waziri wa elimu hasipoingia huku jukwaani tatizo lako atalifahamu vipi?
Utakuwa ni mmoja wa mashetani mnaoomba rushwa ya ngono. Ulitaka akutafute kuja kukutaarifu?
 
Waziri wa elimu sayansi na teknolojia kwa heshima na taaadhima tunakuomba ufuatilie utendaji kazi wa waalimu hawa Mwalimu Gunda na Mwalimu kabole waliopo chuo cha ualimu korogwe kwani wametugeuza sisi wanafunzi wa kike watumwa wao wa ngono ukifanya kosa unapewa adhabu kubwa ambayo huwezi kuifanya na unapewa option mbili ya kwanza ni kulala nao na yapili kutozwa pesa na mkuu wa tasisi yupo na afuatilili
Jitahidini msifanye makosa kama hali ni hivyo maana .......hata huku mtaani wanawake wanapokwama wanaishia humo humo....So Jambo la BUsara ni kutokufanya makosa...
 
pamoja na malalamiko ya wanafunzi iwengi lakini bado mkuu anawaachia wanaendeleza unyama wao ngoja tuendeleee kuumia tu waziri analifumbia macho
 
pamoja na malalamiko ya wanafunzi iwengi lakini bado mkuu anawaachia wanaendeleza unyama wao ngoja tuendeleee kuumia tu waziri analifumbia macho
 
Back
Top Bottom