Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,903
- 95,182
Ndio maana nakwambia kuwa ulikimbia umandeHuna evidence ni bora ukakaa kimya,
Kukosa ndugu yako ama mwanso haimaanishi wamekosa wote. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Ndio maana nakwambia kuwa ulikimbia umandeHuna evidence ni bora ukakaa kimya,
Kukosa ndugu yako ama mwanso haimaanishi wamekosa wote. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Mimi nadhani NECTA ndio kuna mfaa , sio huyu katibu wa sasa naona kama amebebeshwa mzigo mzito pale NECTAndalichako yuko poa sana, kadhibiti uhuni wote pale necta hata kwenye bodi ya mikopo kulikuwepo na ujanjaujanja mwingi sana lakni sasahiv haupo, mm binafsi naona huyu mama yuko poa.
Mimi silingani elimu na ww hata kidogo jichunge na maneno yako usije fikiri kila mtu ni mbumbumbu kama wewe.Ndio maana nakwambia kuwa ulikimbia umande
Sina muda mchafu kama huoMimi silingani elimu na ww hata kidogo jichunge na maneno yako usije fikiri kila mtu ni mbumbumbu kama wewe.
Ni kheri ukapingana hoja kwa hoja weka vigezo vya ubishani wako kuhusu mikopo na wangapi walipata ama wangapi wamekosa ila mihemuko na hisia visikuponze ukapiga piga kelele mitandaoni kama hayawani.
Katika vitu ulivozingua kutaja hivyo vyuo TEOFILO,UDOM,MMU una maana gani apo maana apa ndio tutaona IQ yako ipoje kwamha hiyo product ya hivyo vyuo ipoje na utupe statistics apa nitakuona unajielewa ila bila hvy nawe ni wale waleWewe una stress tu za kukosa kazi na kushindwa kukubali ukweli au unataka uwezo wako mdogo uonekane, kwani hayo uliyoyataja kama kuongeza mishahara, kupandisha madaraja,kulipwa uhamisho, mafao kwa wastaafu nk yako kwenye wizara ya elimu tu toka 2015 mwishoni?. Hivi ulikuwa nje ya nchi au ulikuwa sehemu kusiko na radio wala tv kusikia Rais mwenyewe akisitisha yote uliyoyasema kwa madai ya kuhakiki watumishi hewa?. Wewe ungemlaumu Rais na siyo waziri maana tamko hilo ni la rais. Ngoja nikwambie ndg Tembea shule zote za mjini waalimu wa arts wametosha na hata vijijini washaanza kuzidi, halafu siyo kwamba shule zote tz yote hazikuwa na waalimu wa sayansi hao wanaoenda kuziba gepu iliyokuwepo lakini hata kama hatukuwa na mwalimu hata moja wa sayansi nchi nzima huwezi kuajiri tu wakati BUDGET HAITOSHI UTAWALIPA NINI KAKA? unajua maana ya budget kweli?, hii bila shaka ni product ya theofilo au udom au MMU. KAKA BADO NI MAPEMA HEBU FANYA MENGINE UTAKUFA UNALAUMU NA MAJUKUMU YANAONGEZEKA KESHO NA KESHO KUTWA UMEOA, UNA MTOTO SIJUI UTAMWAMBIA OOOH NDALICHAKO NDIYE KATULAZA NJAA. VYETI VYAKO HIVYO NI KAMA MAKARATASI KAMA VINAKUFANYA UENDELEE KULAUMU NDALICHAKO KWA WEWE KUKOSA AJIRA. NAJUA MAUMIVU YA KUKOSA AJIRA MWENYEWE YAMENIPATA ILA SINA MUDA WA KULAUMU NASONGA MBELE BROTHER.
Hana lolote kabisa huyu MamaHabari wanajamvi,
Leo nakuja na ushauri wa kumtaka huyu mama aachie ngazi kwani amekuwa akiyumba sana, kwa kutomueleza mkuu uhalisia wa elimu nchini.
Huyu mama kwa mda mchache aliopewa wizara pamoja na uprofesa wake amesababisha mengi katika sekta ya elimu;
>Wanafunzi vyuo kukosa mikopo
>Wanafunzi wanaosoma kwa nje ya nchi kuwanyima mikopo
>Kufuta vyuo bila utafiti maalum na hivyo kuisababishia serikali kukosa kodi
>Kushindwa kuajili walimu
>Baya zaidi jana anasema wakurugenzi wawahamishe walimu walioko mjini
>Tatizo sio kuhamisha, tatizo hawapo, na yeye hamuambii mkuu ukweli kwa kuogopa kutumbuliwa.
Tunachoomba jiuzulu utuachie wizara yetu iliyokuwa ikiajiri kila mwaka Sayansi na Sanaa, huku mambo yakienda, nyie mmetoa walimu hewa halafu hamuajiri kisha unaendelea kubaki.
Achia ngazi mama, uwaziri sio haki yako ya msingi, hata ukaeje, kwa ulivyovurunda na kaubunge ka kupewa, utaachia tu.
Fadhila zinamwisho.
Kaleta matatizo makubwa kwenye hii sekta na aliye mteua anamwangalia tuu.Habari wanajamvi,
Leo nakuja na ushauri wa kumtaka huyu mama aachie ngazi kwani amekuwa akiyumba sana, kwa kutomueleza mkuu uhalisia wa elimu nchini.
Huyu mama kwa mda mchache aliopewa wizara pamoja na uprofesa wake amesababisha mengi katika sekta ya elimu;
>Wanafunzi vyuo kukosa mikopo
>Wanafunzi wanaosoma kwa nje ya nchi kuwanyima mikopo
>Kufuta vyuo bila utafiti maalum na hivyo kuisababishia serikali kukosa kodi
>Kushindwa kuajili walimu
>Baya zaidi jana anasema wakurugenzi wawahamishe walimu walioko mjini
>Tatizo sio kuhamisha, tatizo hawapo, na yeye hamuambii mkuu ukweli kwa kuogopa kutumbuliwa.
Tunachoomba jiuzulu utuachie wizara yetu iliyokuwa ikiajiri kila mwaka Sayansi na Sanaa, huku mambo yakienda, nyie mmetoa walimu hewa halafu hamuajiri kisha unaendelea kubaki.
Achia ngazi mama, uwaziri sio haki yako ya msingi, hata ukaeje, kwa ulivyovurunda na kaubunge ka kupewa, utaachia tu.
Fadhila zinamwisho.
Katika vitu ulivozingua kutaja hivyo vyuo TEOFILO,UDOM,MMU una maana gani apo maana apa ndio tutaona IQ yako ipoje kwamha hiyo product ya hivyo vyuo ipoje na utupe statistics apa nitakuona unajielewa ila bila hvy nawe ni wale wale
ndalichako yuko poa sana, kadhibiti uhuni wote pale necta hata kwenye bodi ya mikopo kulikuwepo na ujanjaujanja mwingi sana lakni sasahiv haupo, mm binafsi naona huyu mama yuko poa.
Kama kadhibiti ukanjaujanja loan board kwann wasipewe wengi sasa?ndalichako yuko poa sana, kadhibiti uhuni wote pale necta hata kwenye bodi ya mikopo kulikuwepo na ujanjaujanja mwingi sana lakni sasahiv haupo, mm binafsi naona huyu mama yuko poa.