Waziri nchimbi ni bora ungejiuzulu!

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Kwa namna hali usalama inavyozidi kuzorota ni wazi kuwa waziri wa mambo ya ndani alipaswa kujiuzulu kulinda heshima yake kwani ameprove is very weak to keep our country safe!
 
Kule Zanzibar Nchimbi alisema ni Ugaidi, J.K Olasiti alisema ni Ugaidi Nchimbi kwa hili la Soweto-Arusha amesema ni nini?
 
Kule Zanzibar Nchimbi alisema ni Ugaidi, J.K Olasiti alisema ni Ugaidi Nchimbi kwa hili la Soweto-Arusha amesema ni nini?
Mnafiki Nchimbi, asie ipenda zanzibar, asie wapenda wazanzibari, asiwapenda aislamu, asiwapenda watanganyika, asiwapenda wapinzani, asiwapenda wazalendo, asikuwa na uvumilivu, asikuwa na elimu, asikuwa na uwezo wa kifikiri, asikuwa na upeo , ni mtu wa kukurupuka, nawasi wasi na elimu yake.
 
mnafiki nchimbi, asie ipenda zanzibar, asie wapenda wazanzibari, asiwapenda aislamu, asiwapenda watanganyika, asiwapenda wapinzani, asiwapenda wazalendo, asikuwa na uvumilivu, asikuwa na elimu, asikuwa na uwezo wa kifikiri, asikuwa na upeo , ni mtu wa kukurupuka, nawasi wasi na elimu yake.
mkuu umetirirka
 
Mwambieni akakamate sasa waarabu namanga.
Shame be upon you NCHIMBI & KOVA.
Kila siku mnawachafua waislam na uislam wao.
Acheni kutoa matamko kwa jazba ili msifiwe na mfumo kristo, fanyeni uchunguzi wa kina kwanza, ili kujua nani wanahusika labda ni watu wa nje ya tz hawaitakii mema tz yetu.
Intelejensia ya kamanda wetu KOVA iko wapi sasa?
Kuweni
 
Mashekh wetu kina FARID na MSELEM mpaka leo wanashikiliwa hata dhamana hawapewi kwa visingizio eti wanahatarisha amani na machafuko,
sasa mmeona kuwa masheikh wetu hawahusiki.
Fanyeni uchunguzi kwanza au ndo mmeshikwa pabaya na mfumo kristo, ili muonekane mnafanya kazi lazima muwatese watetezi wa haki za wanzibar na waislam.
 
Back
Top Bottom