assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Kwa namna hali usalama inavyozidi kuzorota ni wazi kuwa waziri wa mambo ya ndani alipaswa kujiuzulu kulinda heshima yake kwani ameprove is very weak to keep our country safe!
kujiuzulu ofcoz ni kuwajibika ukishindwa kazikule zanzibar nchimbi alisema ni ugaidi, j.k olasiti alisema ni ugaidi nchimbi kwa hili la soweto-arusha amesema ni nini?
Mnafiki Nchimbi, asie ipenda zanzibar, asie wapenda wazanzibari, asiwapenda aislamu, asiwapenda watanganyika, asiwapenda wapinzani, asiwapenda wazalendo, asikuwa na uvumilivu, asikuwa na elimu, asikuwa na uwezo wa kifikiri, asikuwa na upeo , ni mtu wa kukurupuka, nawasi wasi na elimu yake.Kule Zanzibar Nchimbi alisema ni Ugaidi, J.K Olasiti alisema ni Ugaidi Nchimbi kwa hili la Soweto-Arusha amesema ni nini?
mkuu umetirirkamnafiki nchimbi, asie ipenda zanzibar, asie wapenda wazanzibari, asiwapenda aislamu, asiwapenda watanganyika, asiwapenda wapinzani, asiwapenda wazalendo, asikuwa na uvumilivu, asikuwa na elimu, asikuwa na uwezo wa kifikiri, asikuwa na upeo , ni mtu wa kukurupuka, nawasi wasi na elimu yake.