Waziri Nchimbi anaposema waliofanya uharibifu ni wahuni... Anajaribu kupoteza ukweli?

hebu ngoja nikuulize swali jepesi.kwakuwa kikwete ni muislam,na vurugu zinazofanywa na kina ponda(wewe unadai ni za waislam)je!unadhani rais anamuunga mkono ponda kwa kuwa ni muislam mwenzake na yuko kwenye harakati za kutekeleza uislam wake?

bila shaka unatambua kama Ponda na wenzake ni watetezi wazuri wa muumini mwenzao Kikwete,na wakati wanapokuwa wanafanya hivyo wanaitwa wanaharakati wa kislamu na watetezi wa mali za waislamu! sasa mimi nashangaa ghafla tu baada ya kuchoma nyumba za kuabudia za makafir eti wanaitwa wahuni!!
 
bila shaka unatambua kama ponda na wenzake ni watetezi wazuri wa muumini mwenzao kikwete,na wakati wanapokuwa wanafanya hivyo wanaitwa wanaharakati wa kislamu na watetezi wa mali za waislamu! Sasa mimi nashangaa ghafla tu baada ya kuchoma nyumba za kuabudia za makafir eti wanaitwa wahuni!!
sasa huwezi ukasema mtu ni muhalifu kabla hajafanya uhalifu au ukasema ni muhuni kabla hajafanya matendo ya ya kihuni au muongo kabla hajadanganya na kitaalam unatakiwa umuunge mkono mtu yeyote anapokuwa sahihi na kumgeuka mara moja pindi anapokuwa hayuko sahihi
 
sasa huwezi ukasema mtu ni muhalifu kabla hajafanya uhalifu au ukasema ni muhuni kabla hajafanya matendo ya ya kihuni au muongo kabla hajadanganya na kitaalam unatakiwa umuunge mkono mtu yeyote anapokuwa sahihi na kumgeuka mara moja pindi anapokuwa hayuko sahihi

mkuu wangu ebu tuachane na maneno ya kisiasa,ndani ya mioyo ya akina Kikwete na wakuu wa vyombo vya usalama wanatambua kwamba wameonywa muda mrefu na kuambiwa hatua za kuwachukulia akina Ponda na Redio Imani Morogoro kabla nchi haijatumbukizwa ktk machafuko makubwa ya kidini! Hawakuchukua hatua za kinga,matokeo unayajua. Wala usidhani baada ya vurugu za wiki iliyopita,wakristo watawaamini tena waislamu(siyo wahuni,ni waislamu).
 
mkuu wangu ebu tuachane na maneno ya kisiasa,ndani ya mioyo ya akina kikwete na wakuu wa vyombo vya usalama wanatambua kwamba wameonywa muda mrefu na kuambiwa hatua za kuwachukulia akina ponda na redio imani morogoro kabla nchi haijatumbukizwa ktk machafuko makubwa ya kidini! Hawakuchukua hatua za kinga,matokeo unayajua. Wala usidhani baada ya vurugu za wiki iliyopita,wakristo watawaamini tena waislamu(siyo wahuni,ni waislamu).
abatoba!
 
That is why I hate CCM and its leaders. Wanafiki wakubwa. Rushwa wanaita takrima, Rushwa ya rada wanaita Change ya rada, Matatizo ya nchi/wananchi wanaita changamoto.

Nchimbi lazima aseme ukweli waliochoma moto makanisa ni MUSLIM FUNDAMENTALISTS PERIOD. They should be dealt like any other muslim fundamentalists like Al Queda, Al Shabaab, Boko Haramu etc.

Hawezi kuwadanganya WAKIRISTO kwamba waliotuchomea nyumba za ibada ni WAHUNI. Unless atwambie kwamba UISLAMU unafundisha UHUNI ndiyo maana waliochoma makanisa walitokea MISIKITINI ambako walifundishwa uhuni.

Lazima WAISLAMU waambiwe ukweli there is something wrong with islamic teaching because it teachs violance and hate to Christians. Call a SPADE A SPADE not A BIG SPOON
 
wanajamvi. wahuni wanajitambua kama wao ni wahuni. wale sio wahuni. ni waislam wenye akili zao timamu wakisukumwa na utashi dhahiri wa dini yao. kama kundi la wakristo wakibaka mtoto watatajwa kama wakristo sio wahuni. mtu anaipigania dini yake unamwita mhuni. yaani ponda ni muhuni? WALIPOANDAMANA BILA KIBALI KUWATOA WAVURUGA SENSA NI WAHUNI? KWA NINI SERIKALI ILIWASIKILIZA WAHUNI. WAKAANDAMANA TENA. POLISI WAKAWEKA UTEPE ILI WASIVUKE. WAKAKATA UTEPE MBELE YA POLISI BILA KUWAFANYA CHOCHOTE. KWA NINI POLISI WALIWAACHA WAHUNI WALE. WAMERUDIA MBAGALA NDIPO MAJI YAKAZIDI UNGA. NASEMA WALE SIO WAHUNI. NI WAISLAM. NAKUBALIANA KWAMBA YAMKINI DINI HAIFUNDISHI HIVYO. LAKINI WALIOFANYA NI WAISLAAM. NAWAULIZA

!) OSAMA AU ALKAIDA NI KUNDI LINALOSIMAMIA DINI GANI.
2)BOKOHARAM NI KUNDI LINALOSIMAMIADINI GANI
3)ALSHABABU NI KUNDI LINALOSIMAMIADINI GANI.
3) JUMUIA YA UAMSHO NI KUNDI LINALOSIMAMIA DINI GANI.
5) TEREBAN NI KUNDI LINALOSIMAMIA DINI GANI.
6) NI DINI IPI INAYOLALAMIKIA KILE WANACHOKIITA MFUMO KRISTO.
7) NI MAKANISA MANGAPI YALIYOCHOMWA NA KUHARIBIWA MPAKA SASA.
8) NI KUNDI LENYE ASILI YA DINI GANI LINALOCHOMA MAKANISA.
9) JE MALALAMIKO YA MFUMO KRISTO HAYANA UHUSIANO NA UCHOMAJI WA MAKANISA.
10) KWA NINI YACHOMWE MAKANISA TU.
11) MISIKITI MINGAPI IMECHOMWA.
12) KWA NINI SERIKALI IMEKUWA NA KIGUGUMIZI KUWASHUGHULIKIA MNAOWAITA WAHUNI.
13 ANYWAY RAIS NI DINI GANI.
14 MAKAMU WA RAIS NI DINI GANI.
15 IGP NI DINI GANI.
16 JAJI MKUU NI DINI GANI.
17 MKUU WA USALAMA WA TAIFA NI DINI GANI
18) KAMANDA WA POLISI WA KANDA MAALUM DSM NI DINI GANI.
19) kwa orodha hii ya viongozi mfumo kristo uko wapi.
20) KWANINI WANAKIGUGUMIZI KUWASHUGHULIKIA WAHUNI.
21) WAZIRI WA ULINZI NI DINI GANI
22) JE KIGUGUMIZI CHAO HAKINA UHUSIANO NA DINI YAO? MIE NAULIZA TU. (PHYLOSOPHICAL QUESTIONS)
23) JIHADI NI NINI. INFUNDISHWA WAPI. KWENYE KORAN AU BIBLIA.
24) VITABU HIVI VIWILI. KIPI KINASEMA UKIUA MTU KWA KUTETEA DINI YAKO UNAINGIA PEPONI.
25) NINI CHANZO CHA UHALIFU WA KUKOJOLEA KURANI.
26) JE MKOJOLEAJI HAKUWA ANAPROVE ALIPOAMBIWA "UKIKOJOLEA KURANI UTAGEUKA KUWA NYANI.
27) mmesoma post ya mohamed. naam. mohamed. nimempenda huyu mwislam. ni mwislam mwenye akili barabara.
 
NCHIMBI alidai kuwa waliovunja makanisa sio waislam bali ni wahuni. binafsi naona ni jaribio la kupoteza uhalisia wa jambo. tena ni kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu. wahuni wanajitambua kama wao ni wahuni. wale sio wahuni. ni waislam wenye akili zao timamu wakisukumwa na utashi dhahiri wa dini yao. mtu anaipigania dini yake unamwita mhuni. yaani ponda ni muhuni? WALIPOANDAMANA BILA KIBALI KUWATOA WAVURUGA SENSA NI WAHUNI? KWA NINI SERIKALI ILIWASIKILIZA WAHUNI. WAKAANDAMANA TENA. POLISI WAKAWEKA UTEPE ILI WASIVUKE. WAKAKATA UTEPE MBELE YA POLISI BILA KUWAFANYA CHOCHOTE. KWA NINI POLISI WALIWAACHA WAHUNI WALE. WAMERUDIA MBAGALA NDIPO MAJI YAKAZIDI UNGA. NASEMA WALE SIO WAHUNI. NI WAISLAM. NAKUBALIANA KWAMBA YAMKINI DINI HAIFUNDISHI HIVYO. LAKINI WALIOFANYA NI WAISLAAM. WALIPOENDA POLISI WALIDAI WAPEWE MTOTO YULE ILI WAMCHINJE. NANI WALIOENDA POLISI KUDAI MTOTO YULE. NI WAISLAM. IJUMAA WALIOANDAMANA BILA KIBALI NI WAISLAM. NAKUBALIANA KWAMBA SIO WAISLAM WOTE WALIOKUBALIANA NA TENDO LILE. WAPO WAISLAM AMBAO WAMELAANI NA KUPNGA KWA DHATI YA MOYO. BAADHI YA WAISLAM WENYE KUUNGA MKONO TENDO HILI OVU WANASEMA HAO WANAOPINGA NI MAKAFIRI. NANI KATI YA MAKUNDI HAYA ANSEMA KWELI. NI NANI KAFIRI. NA NI NANI MHUNI. LAKINI KWANINI VIKUNDI VINAVYIOTWA VYA KIHUNI VINATOKANA NA DINI HII. NAWAULIZA

!) OSAMA AU ALKAIDA NI KUNDI LINALOSIMAMIA DINI GANI?.
2)BOKOHARAM NI KUNDI LINALOSIMAMIADINI GANI?
3)ALSHABABU NI KUNDI LINALOSIMAMIADINI GANI?.
3) JUMUIA YA UAMSHO NI KUNDI LINALOSIMAMIA DINI GANI?.
5) TEREBAN NI KUNDI LINALOSIMAMIA DINI GAN?I.

MASWLI MENGINE NAYOULIZA NI KWAMBA

6) NI DINI IPI INAYOLALAMIKIA KILE WANACHOKIITA MFUMO KRISTO?.
7) NI MAKANISA MANGAPI YALIYOCHOMWA NA KUHARIBIWA MPAKA SASA. NA MISIKITI MINGAPI?.
8) NI KUNDI LENYE ASILI YA DINI GANI LINALOCHOMA MAKANISA?.
9) JE MALALAMIKO YA MFUMO KRISTO HAYANA UHUSIANO NA UCHOMAJI WA MAKANISA.
10) KWA NINI YACHOMWE MAKANISA TU NA SIO MISIKITI KAMA WAHALIFU SIO WAISLAM BALI NI WAHUNI?.
11) MISIKITI MINGAPI IMECHOMWA?.
12) KWA NINI SERIKALI IMEKUWA NA KIGUGUMIZI KUWASHUGHULIKIA MNAOWAITA WAHUNI?.
13 ANYWAY RAIS NI DINI GANI?.
14 MAKAMU WA RAIS NI DINI GANI?.
15 IGP NI DINI GANI?.
16 JAJI MKUU NI DINI GANI?.
17 MKUU WA USALAMA WA TAIFA NI DINI GANI?
18) KAMANDA WA POLISI WA KANDA MAALUM DSM NI DINI GANI?.
19) kwa orodha hii ya viongozi mfumo kristo uko wapi?.
20) KWANINI WANAKIGUGUMIZI KUWASHUGHULIKIA WAHUNI?.
21) WAZIRI WA ULINZI NI DINI GANI?
22) JE KIGUGUMIZI CHAO HAKINA UHUSIANO NA DINI YAO? MIE NAULIZA TU?. (PHYLOSOPHICAL QUESTIONS)
23) JIHADI NI NINI. INFUNDISHWA WAPI. KWENYE KORAN AU BIBLIA?.
24) VITABU HIVI VIWILI. KIPI KINASEMA UKIUA MTU KWA KUTETEA DINI YAKO UNAINGIA PEPONI?.
25) NINI CHANZO CHA UHALIFU WA KUKOJOLEA KURANI?.
26) JE MKOJOLEAJI HAKUWA ANAPROVE ALIPOAMBIWA "UKIKOJOLEA KURANI UTAGEUKA KUWA NYANI?.
27) mmesoma post ya mohamed. naam. mohamed. nimempenda huyu mwislam. ni mwislam mwenye akili barabara.
 
Nchi hii ina misikiti mingi sana, kwa hiyo nchi ina wahuni wengi sana!
 
tofauti ipo, muhuni ni mwanaume ambae hajaoa kama
padri
askofu
au mwanamke ambae hajaolewa kama
sister.
Kwa hiyo dini zote zina wahuni
Mchanganyiko zaidi, mapadri na masista kuchoma makanisa kuharibu magali na kupora makanisa yao wenyewe.
Kama hivyo ndivyo wasio wakristo waliokamatwa wanapaswa kuachiwa mara moja.
 
sasa waziri nchimbi anasema zuio la mihadhara si adhabu, je inalenga kutimiza nini?
 
Katika taarifa saa mbili usiku TBC, waziri Nchimbi anasema si haki kusema makanisa yaliporwa na waislamu, ila ni wahuni tu.
Je kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna haja gani ya kuzuia mihadhara ya kidini kwa mwezi mmoja, je si kuwanyima haki wanadini iwapo wanaoleta vurugu si vikundi vya dini?
Je huu si ukanganyaji wa ukweli toka ngazi za juu.?


Ukweli ni kwamba hapa hatuna waziri, ni boya tu, mradi siku zinaenda.
 
Back
Top Bottom