Waziri Nchimbi anaposema waliofanya uharibifu ni wahuni... Anajaribu kupoteza ukweli?

Waziri Nchimbi hajui halitendalo, tumsamehe, na pengine alishwa hivyo akatafuta Lugha ya kufurahisha upande wa pili kwa kuonekana yeye si upande mwingine

Tumsamehe pamoja na aliowaeurahisha
 
huna hoja freeworld. jibu hoja ya nchimbi. waliopora na kuchoma makanisa sio waisalam. eti ni wahuni. swali analouliza mtoa hoja. kama ni wahuni kwa nini kuzua mihadhara kwa mwezi mmoja? jibu swali. au ukweli unauma.
 
huna hoja Freeworld. jibu hoja ya nchimbi. waliopora na kuchoma makanisa sio waisalam. eti ni wahuni. swali analouliza mtoa hoja. kama ni wahuni kwa nini kuzua mihadhara kwa mwezi mmoja? jibu swali. au ukweli unauma.
 
Hata mimi nimesikia kuna sehemu ni kijiwe cha mpira huwa tunaangalia watu zaidi ya 100 hv,wakati huo wa taarifa ya habari kuna mchezo kati ya Arsenal vs Norwich so upande mmoja watu waliomba tuangalie taarifa ya habari ndo tukakutana na hiyo kauli ya Nchimbi kweli watu wamekasilika sana na hapa chini ni maswali ambayo wameuliza
1. Je hii mihadhala mbone wameizuia kwa mwezi mmoja wakati wenye mihadhala hawahusiki bali ni wahusika ni wahuni
2. Ilikuwaje mf.uchomaji wa makanisa mbagala watu wakatokea msikitini na kwenda kuchoma kanisa
3. Kwa nini hawa wahuni hawajawahi kuchoma hata msikiti mmoja hapa TZ
4. Kwa nini shekh Ponda amekamatwa au na yy ni mhuni
5. Je Nchimbi alimsikia Kova wakati anasifia ukristu kuwa ni wavumilivu sana mbona hakuwataja waislam
6. Inakuwaje Zenji watoe waraka wa kutaka kukata vichwa kwa viongozi wa dini flani.

Ndugu yangu Nchimbi hizi dhambi zinazo sababishwa na unafiki wako lini utazitubu ndugu yangu hata kama ni kubembeleza cheo siyo hivyo au unaogopa utakuwa chizi usiogope kwani dogo wa mbagala yupo kitaa anadunda tu, badilika ndg!


Hapo kwenye red, dogo bado anajiuliza atabaki duniani au vp? Ngoje ufe uingie jahanam ndo utajua wavaa kobaz wako sahihi
 
Katika taarifa saa mbili usiku TBC, waziri Nchimbi anasema si haki kusema makanisa yaliporwa na waislamu, ila ni wahuni tu.
Je kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna haja gani ya kuzuia mihadhara ya kidini kwa mwezi mmoja, je si kuwanyima haki wanadini iwapo wanaoleta vurugu si vikundi vya dini?
Je huu si ukanganyaji wa ukweli toka ngazi za juu.?

Ametumwa na wakubwa zake: Angalieni juu yake kumejaa waislamu watupu!
ndio shida ya madaraka ya kiushikaji
 
Katika taarifa saa mbili usiku TBC, waziri Nchimbi anasema si haki kusema makanisa yaliporwa na waislamu, ila ni wahuni tu.
Je kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna haja gani ya kuzuia mihadhara ya kidini kwa mwezi mmoja, je si kuwanyima haki wanadini iwapo wanaoleta vurugu si vikundi vya dini?
Je huu si ukanganyaji wa ukweli toka ngazi za juu.?

Waziri Nchimbi kasema ukweli hao wanafanya vurugu ni wahuni hata kama ni waumini wa madhehebu ya kiislamu. Unaposema kajikanganya unamaanisha nini?
 
Mimi naona kunatatizo katika mfumo mzima wa utawala wa nchi hii. Viongozi hawana tena umoja na wala Raisi wa nchi hana udhibiti kwa baraza lake la mawaziri. Angalia kila waziri anaongelea kila jambo na kutoa kauli zisizo makini na zinazo kinzana. Angalia kwa mtazamo wa haraka tu, huyu Nchimbi alitakiwa kuwa amewajibika toke matukio ya Morogoro na Iringa lakini WAPI!...
Sina uhakika kama kamati ya ulinzi na usalama haijui jinsi dola ilivyo liandaa bomu hili la udini kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010, hoja ambayo haikupata mashiko lakini bado mkuu wa nchi aliuelezea uma kuwa tatizo kubwa la TZ ni udini na wala si udhaifu wa raisi na serikali yake.
Hakika tunatakiwa kubadili uongozi wa taifa hili ili nasisi tufaidi rasilimali ambazo Mungu ametujali wa Tanzania.

Udhaifu wa Rais na serikali yake ndio umepika hili tatiso la udini.
Mbona halikuwepo wakati wa BWM?
 
Yaani CHADEMA wakisikia neno KANISA akili zinawaruka kabisa, hv muna interest gani kwenye kanisa?

Na wewe kamata hiiii....
View attachment 68882
attachment.php
 
Waziri Nchimbi kasema ukweli hao wanafanya vurugu ni wahuni hata kama ni waumini wa madhehebu ya kiislamu. Unaposema kajikanganya unamaanisha nini?

Ponda ni muhuni?

Kama ni kweli, basi tuwaone waisalmu wengine wanalani vitendo hivyo
Inakwuaje ni wahuni wakati ni watu waliotoka Msikitini?
Hawa wahuni hawachomi Misikiti, ni wahuni wa kuchoma makanisa tu?
Wahuni wa aina yake hawa!
 
Sijawahi kukaaa nimwamini nchimbi, na sitokaa nimwamini Kiongozi yeyote aliyepitia UVCCM ambayo kwangu naiita tanuru la kutengeneza vijana wanafiki, waongo na wanaojipendekeza tanzania.huyu NChimbi anaweweseka nasikia kuna watu wanamdanganya kuwa naye anaweza kuwa rais hivyo ka defect kutoka kwa mvi.

Jamani ndugu zangu, tunahitaji nini kujua kwamba sio kila mtu anaweza kuwa rais? Mbona sisi ni wagumu sana kuelewa?
Poor Tanzanians
 
MH.NCHIMBI ni sehemu ya umma wa dunia ambao kwa kutokuujua Uislam na mtume wake wanadhani matendo yatendawayo na Watendaji wake katika ulimwengu uliostaarabika ni Wahuni,ukweli ni kwamba matendo na watendaji ni Waislam na wayatendayo ndiyo Uislam, tuache kuwashusha hadhi watu wanaotekeleza maamrisho ya mtume kuwa ni WAHUNI.
Umma mkubwa wa dunia hii unapumbazwa kwa kutokuujua Uislam na waidanganywa kuwa Islam ni dini ya haki na amani,kwa waislam hao hiyo ndiyo haki itayowapelekea wao kuwa watakatifu kwa kupigania dini ya ALLAH.
Ni wakati wa kuelimishana ili nasi katika maongezi na machapisho tuunene ukweli ili ndugu zetu hao waislam badala ya uwaita wahuni wafundishwe kuwa DINI ni mali binafsi na ni wa faida au hasara ya mdini,dini isifanywe lazima kwenye jamii katika ulimwengu huu uliostaarabika,wajifunze kuuishi Uislam wao kama imani katikati ya wasio waislam wakiheshimi wengine kwenye Imani zao hata kama kwa taafsiri ya Imani yao ni makosa,ili na wao wapate kuheshimiwa hapo ndipo amani itaendelezwa lakini si kwa kuwaita wahuni wakati wenyewe wana uhaika kuwa wanamfurahisha Mungu wao kwa matendo yao.
 
Kiswahili ni lugha ambayo kilasiku inakuwa.
Msamiati mpya:
Wahuni - Waislamu, waamini wa Mtume Muhamad (saw).
 
Katika taarifa saa mbili usiku TBC, waziri Nchimbi anasema si haki kusema makanisa yaliporwa na waislamu, ila ni wahuni tu.
Je kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna haja gani ya kuzuia mihadhara ya kidini kwa mwezi mmoja, je si kuwanyima haki wanadini iwapo wanaoleta vurugu si vikundi vya dini?
Je huu si ukanganyaji wa ukweli toka ngazi za juu.?

Nchimbi is just a good useful idiot,full of Politically correct stupidity.kabla mwaka haujaisha watakuwa wameshamtangazia fatwa ndipo atajijua kuwa hailipi ku appease uovu.
 
Yaani nimemwangalia kwa hasira, zee zima linalopoka kama vile linazungumza na wajukuu zake. Astaghafrulah laana tu lah
 
Back
Top Bottom