Waziri Nape Nnauye tuanzie ulipoishia

Jinai haiozi.. hata Nape asipoact sasa hivi Bashite atakuja kulipa kwa aliyoyafanya siku moja.. hata kama ni baada ya miaka 10 au 15. Bashite atalipa tu aliyoyafanya labda atangulie mbele ya haki mapema..
 
Ishafunikwa kombe kitambo sana na mwana haramu ashapita kitambo pia. Kama ni report ishachanwachanwa kitambo sana. Na vizuri mh. Nape akajitenga na dhahama hii ili awezekuonekana kiongozi bora japo kwa upande mwingine atakuwa anaugua maumivu ya kuzalilishwa na kijana mdogo ambapo kisiasa wao ndio waliomjenga awe vile.
 
Najaribu kujiuliza maswali mengi hasa pale nipo msikiliza @nape akihojiwa na Salama Jabri katika vipindi vyake,sasa naona ile Report ya Uvamizi wa CMG kama utatolewa! na hapo Ndipo namuona Makonda kupelekwa mahakamani, Kwa kuwa ni tukio lililotengenezwa na mtu kipindi hicho akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar na alionekena katika video! Hata Nape alipozuiwa kutoa press na kutolewa bastola ni sinema ya kutengenezwa. Nini maoni yako juu ya hili??
Inategemea kama wavamiwaji wataamua kwenda ifungua maana wao ndio ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kujiuliza maswali mengi hasa pale nipo msikiliza @nape akihojiwa na Salama Jabri katika vipindi vyake,sasa naona ile Report ya Uvamizi wa CMG kama utatolewa!
Itolewe mara ngapi? Kwani unadhani ni kwanini Nape alitumbuliwa?!

Ngoja nikukumbushe kama umesahau...

Baada ya Nape kuunda tume, matukio yaliyofuata yaliyoonesha wazi kwamba Magu hakufurahishwa na suala la Nape kuunda tume!! Na kwa kuonesha yeye kama Rais yupo na Makonda, kulikuwa na event moja ambayo Magu akampa Makonda mike atie neno!!

Lakini pamoja na yote hayo, Nape akaitoa ile ripoti, na kilichofuata, akatumbuliwa on the spot!

Ripoti ilikuwa ndefu, lakini sehemu ya hiyo ripoti ni hii hapa chini...

Najaribu kujiuliza maswali mengi hasa pale nipo msikiliza @nape akihojiwa na Salama Jabri katika vipindi vyake,sasa naona ile Report ya Uvamizi wa CMG kama utatolewa! na hapo Ndipo namuona Makonda kupelekwa mahakamani, Kwa kuwa ni tukio lililotengenezwa na mtu kipindi hicho akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar na alionekena katika video! Hata Nape alipozuiwa kutoa press na kutolewa bastola ni sinema ya kutengenezwa. Nini maoni yako juu ya hili??
Dotto James alituhumiwa, Makonda alituhumiwa pia. Hatuendi kwa mwendo kasi bali taratibu kama mzee Kobe. Wataelekezwa kibra mmoja baada ya mwingine bila kusababisha ishara ya aina yeyote ile na watawajibishwa.
 
Nakukumbusha Mh. WAZIRI mteule wa wizara ya habari. Mara baada ya kiapo chako naomba urudi viunga vya St. Peter ukasome ripoti ya tume ya Uvamizi wa KITUO Cha Clouds.

Kisha tuendelee na mapendekezo ya tume huu ndio muda wa kuikomboa tasnia.

Na yule alikutolea bastola tumuite aseme nani alimtuma, Kama vipi Ubaya Ubaya tu .
Nape ukilifanya hili utafaa kuwa waziri maradufu. Makonda kabwana mdogo kalijiona ndiko kenye nchi ama kaka mkubwa wa nchi yetu yaani akiamua kuchukua gari lako kisa unauza dawa unamhonga.
 
Nakukumbusha Mh. Waziri mteule wa wizara ya habari. Mara baada ya kiapo chako naomba urudi viunga vya St. Peter ukasome ripoti ya tume ya Uvamizi wa KITUO Cha Clouds.

Kisha tuendelee na mapendekezo ya tume huu ndio muda wa kuikomboa tasnia.

Na yule alikutolea bastola tumuite aseme nani alimtuma, Kama vipi Ubaya Ubaya tu .
Atakapo jidanganya kuanzia hapo ajiandae kupigwa chini maana atakuwa hafai ktk uongozi
 
Back
Top Bottom