Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

Clouds Media imegeuka kuwa eneo la utalii ghafla naona toka uzinduzi wa ule ugeni makini sana ktk kazi zao utie timu pale basi kila mmoja anafika na kwenda kuona walienda kufanya nini pale!!

Team ilikuwa iko kazini wengi hatujui
 
Jamani kwangu mimi Nape amesimamia haki za watanzania wote. Ila nashangaa kusikia Ametumbuliwa Uwaziri..!! Hizi Habari ni za kweli wajameni..! Yaani badala ya mfanya kosa kutumbuliwa, mchunguza kosa ndio anatumbuliwa. Kweli hii ni Africa.
 
Magazeti yote leo yameandika Bashite, wakaacha kuandika habari ya uzinduzi wa mradi wa Interchange Ubungo...What is National Interest kwa Tanzania hii
Kwa sababu uzinduzi wa ubungo interchange ulikuwa wa "sipangiwi....chapa kazii...nasema chapa kaziiii"
 
Amed genge maana yake nini? Yeye ana ulinzi kwa sababu maalumu. Kitu kingine mnachosahau ni kuwa yeye ndiye Mwenyekiti wa Usalama Mkoa wa Dar- Es-Salaam.

Acha unafik wewe kila siku anaenda kucheka nao mbona haendi na hiyo gang acha kutetea upumbavu au kawa mwenyekiti wa usalama hiyo siku!?
 
Unaelewa maana ya kutekwa?? Au Unaendeleza mada tu coz watu wameanzisha? Kutekwa Kuna Shughuli yeyote ya utaratibu wa KAZI za clauds zilisimama Na watu wakatangaza yao ? Nje Na utaratibu wa Kituo Na Jamii ikasikia? Kuna Uharibifu ulifanyika pale kituoni wa Mali Na watu? Suala LA MTU kutembea Na walinzi au watu wenye SILAHA lipo wazi Na watu hao ni VIP Na kunapokuwa Tishio LA kiusalama anaweza kwenda nao sehemu yeyote hata Sehemu za ibada Na huwa tuna waona. Angekuwa MTU anaye ongelewa hayupo katika Kundi LA VIP hapo ingekuwa ni Sahihi. Aksante tunajulishana tu.

Yes naelewa Maana ya kutekwa na haina ulazima wa vitu kuharibiwa kuwa held sehemu yoyote hata nyumbani kwako bila idhini yako pia ni kutekwa. Mbona hao walinzi hawako nae siku zote akiendaga kucheka nao hivi mnaona powa kutetea huu upumbavu Mnakuwa mabogus kwenye issue zinazohitajiwa kupingwa waziwazi mpaka aje majumbani kwenu kuchukua vyenu ndio mtaamka!!?
 
Acha unafiki Makonda ana walinzi na alienda akiwa na walinzi au ulitaka aache walinzi au walinzi ulitaka wasibebe silaha zao

Hao walinzi since when anaendaga nao mbona siku zote anaenda kucheka nao hana armed force wewe ndio mnafik unatetea ujambazi
 
Back
Top Bottom