Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

Movie ipo mwisho mwisho lakini Wadhamini wa movie GSM ndiyo wanapanga njia zote za Uzinduzi hata Mlezi wao baba jesca kaamua kuuchuna kiimya hataki kusikia kitu.
Anataka afukuzwe, ili kashfa ya Cheti ipotee. Ndio lengo. (nafikiri)
 
Nadhani Mh Waziri Nape kama ni yeye ameongea hayo basi hajui anachoongea!! 'Taarifa itasomwa wazi'
 
Nape anaulizwa ya habaro na uhuru, yeye anakazania ya Mh. Makonda

Kweli kapata p kujidai kutaka kumshusha ila ndio hivyo anajulikana anamsaka tangu aanze mapambanonya ngada.

Leo anakimbilia kukazania eeeeeh

Maajabu hayaishi

Tunajua lake hakuna linalofichika this tim hakurusha tu mapovu twitter.

Makonda oyeeeeee
Bila shaka wewe ni kimada wake. Kama ulizoea ofa sasa utazisikia kwenye bomba.
 
Nape anaulizwa ya habaro na uhuru, yeye anakazania ya Mh. Makonda

Kweli kapata p kujidai kutaka kumshusha ila ndio hivyo anajulikana anamsaka tangu aanze mapambanonya ngada.

Leo anakimbilia kukazania eeeeeh

Maajabu hayaishi

Tunajua lake hakuna linalofichika this tim hakurusha tu mapovu twitter.

Makonda oyeeeeee
Uharoo mtupu.. Mtu afanye ujinga mseme eti vita ya madawa
 
Akiomba radhi asamehewe na aendelee na ukuu wa mkoa wake....wana Dar es Salaam tunampenda saaana RC wetu Makonda
Unakumbuka kuna mtu aliwahi kufukuzwa kwa kosa la kutoa taarifa mkoa wake hauna wafanyakazi hewa??

Huyu wa Dar amevamia kabisa na mtutu wa bunduki.. Akibaki inaleta picha gani? Kwamba ni wa kanda ya ziwa sio?
 
Back
Top Bottom