Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,879
- 8,800
Huyu amezuia ndege,tangazo halijasema amezuia watanzania,hata kabla ya corona watanzania tulienda Kenya kwa KQ au mabasi,je kabla ya corona ndege gani za TZ zilikuwa zinatua huko na Mara ngapi kwa siku?Kuna wakati diplomacy never work, hivi mtu anazuia ndege na raia wa nchi yako kuingia katika nchi yake wewe unasubiri deplomacy? wao kabla hawaja zuia hawa kufikiri kama deplomacy ina hitajika? Kenya ni masikini the kama nchi zote za EAC hakuna haja ya kumbembeleza.