Waziri na Wizara ya Mambo ya Nje wanashindwa majukumu yao: tit fot tat na Kenya

Kuna wakati diplomacy never work, hivi mtu anazuia ndege na raia wa nchi yako kuingia katika nchi yake wewe unasubiri deplomacy? wao kabla hawaja zuia hawa kufikiri kama deplomacy ina hitajika? Kenya ni masikini the kama nchi zote za EAC hakuna haja ya kumbembeleza.
Huyu amezuia ndege,tangazo halijasema amezuia watanzania,hata kabla ya corona watanzania tulienda Kenya kwa KQ au mabasi,je kabla ya corona ndege gani za TZ zilikuwa zinatua huko na Mara ngapi kwa siku?
 
Zama za kissinger na leo ni tofauti sana, ndo maana unaona kina pompeo wanachukua approach tofauti.

Utakuwa mjinga uliyepitiliza kumpa baraka jirani yako akujeruhi kiuchumi. Btw, let's wait and see who blinks first.
Pompeo, the glorified fool and idiot, is not welcome in almost all capitals, East or West.
In diplomacy, blinking is part of the game.
Others call it concession, it can be tactical .
But Mao once said one step backward , two steps forward.
 
Yanayoendelea katika mahusiano kati ya Kenya na Tanzania kwa sasa hivi hanasikitisha. Kenya ni jirani yetu na jirani ni ndugu.

Hivyo basi, matukio matatu ya haraka haraka yaliyotokea yanatushangaza. Kwanza ndege ya ujumbe wa Kenya ili rudi au kurudishwa Nairobi hivi majuzi.

Ndege hii ilikuwa na ujumbe wa viongozi waliokuwa wanakuja kuaga na kuhani msiba wa Mzee Mkapa.

Pili, Kenya iliondoa ukaribisho kwa Watanzania, kati ya nchi nyingi, kwenda Kenya ati kutokana na janga la Korona.

Tatu, leo Tanzania kwa kulipiza kisasi imeondoa ruksa ya ndege za Kenya, KQ kutua Tanzania toka tarehe 1 Agosti, yaani kesho.

Sasa hapa napata wasi wasi juu ya ukaribu na mfululizo wa matukio haya.

Je, hakuna hotline kati ya wizara za nje kati ya Kenya na Tanzania?

Kweli watu wanafanya kazi zao kwa weledi hadi mambo yatokee hadharani na kuzivunjia heshima nchi zote mbili?

Mimi nayachukulia masuala haya kama failure in Diplomacy, na watu inabidi wawajibishwe.
Rais Uhuru anadharau kubwa sana huwezi kutuma msafara wa kiongozi mdogo kuja kwenye mazishi ya Rais mstafuu Benjamin Mkapa. Kumbuka wakati wa mazishi ya Rais Moi Tanzania iliwakilishwa na Marais wawili wastaafu Kikwete na Mkapa.
Kingine sera ya Rais Uhuru katika vita dhidi ya Coronavirus imeshindwa kwa kiasi kikubwa na uchumi wa Kenya umezorota sana hiyo imeleta Chuki kubwa dhidi ya Rais Magufuli kwa hatua aliyochukua hapa Tanzania katika kupambana na ugonjwa huo.
Coronavirus haipukik uweke lockdown wala usipoweka lockdown
 
Katika maisha mtu akikudharau hilo ni tatizo lake, alimradi hakupandi kichwani.
Hata hivyo tukumbuke kuwa kaika msiba wetu wa Rais Mkapa, katika nchi za Afrika Mashariki ni Kenya iliyoweka siku tatu za maombolezo, kama kuna nyingine tujulisheni.
 
Acheni unafiki sote tunaenjoy hali ya uhuru tulionao wakati wenzetu wanapigwa lockdown kwao na yote, last week Uhuru alisikika mara kadhaa akisema "tusijilinganuahe na nchi ambazo hazina demokrasia l, wanaficha taarifa" unadhani alikua anamaanisha China??
Wakenya wanademokrqsia gani watu wanaishi Kama mbwa wa dampo pale kibera, nother eastern na turkana kule ndo chali kabisa alafu mnakuja hapa eti diplomasia diplomasia nyoko!
Hatua tunazochukua TZ ndio stahiki yao hamna chochote wanachojua zaidi ya kuongea lugha ya malkia🚮
 
Hata nyoko ni diplomasia, lakini ya kijinga huko kwenu.
Inakueleza mtu ulivyo mshamba mbele ya wastaarabu na waungwana.
 
Hakuna kichaa wa kufuata unacho hitaji, kawalazimishe mataga wenzako
Of course wewe ni "kichaa" kwa sabau huna kumbukumbu yoyote. Unajipigia tu unapoingia JF! Ni mara ya kumi hii nikikukumbusha, lakini 'ukichaa' unakufanya uwe hivyo.
 
Of course wewe ni "kichaa" kwa sabau huna kumbukumbu yoyote. Unajipigia tu unapoingia JF! Ni mara ya kumi hii nikikukumbusha, lakini 'ukichaa' unakufanya uwe hivyo.
Hujui ukichaa nayo ni sifa?
 
Back
Top Bottom