Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,294
- 24,118
- Thread starter
- #81
CCM inaendelea kudumu!!Ccm hoyeeeee
CCM inaendelea kudumu!!Ccm hoyeeeee
Unategemea nini kutoka kwa Kabudi? Hana uzoefu wowote wa diplomasia.
Mkuu Kenya tupende tusipende hatuwezi kuikwepa kibiashara. Kenya ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania.
Hivyo tuyalee mahusiano hayo.
Kabudu ndo tatizo
Against all odds tutayamaliza matatizo na Kenya kistaarabu.Hongereni sana kwa kuendelea na wimbo wa zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama
Itachukua muda mrefu sana Tanzania kuikuta Kenya kiuchumi. Kitendo cha kuwa mabepari tangu mwanzo kimewafaidisha zaidi kuliko sisi wakomunisti.Kiufupi mgogoro wa kiuchumi kati ya Kenya na Tanzania ni wa muda mrefu sana japo wamekuwa wakijitahidi kuufukia ila unaibuka tena, kibaya zaidi Wakenya wanahofu sana juu ya Tanzania kuwavuta nyuma ki uchumi na Tanzania kuwa mbele ya Kenya na hapa ndipo ukweli umelala. Yote tisa la kumi wahakikishe hii migogoro inafutika, kwani sote kuna kiasi tunategemeana.
Kenya wakijiona Superpower wewe unapungukiwa niniUlichoongea ndo sahihi,ila Kenya wao wanajiona kwa nchi za EAC wao ni super power.nchi zingine zote takataka.
sasa dawa yao ni kujibu mapigo matakatifu.
Diplomasia inataka uweze kuwa na uhusiano mzuri na watu wengineUnaishije vizuri na jirani asiye mstaarabu wala kuwa na hiyo heshima. Labda ukubali ku-surrender uhuru wako kwake.
Tulishauri sana juu ya hiyo issue inavyochukuliwa lkn mkatuona kuwa ni kuwaoneeni wivu kisa ni wapinzani.Against all odds tutayamaliza matatizo na Kenya kistaarabu.
Tusiwe kama fisi anayesubiri kudandaoka kwa mkono wa binadamu akifikiria ni nyama itakayo dondoka wakati wowote.
CCM inaendelea kudumu!!
'Jidu', nashukuru sana kwa ushahidi huu uliouweka hapa, pamoja na kwamba sikuwahi kuuona mahali popote.Tanzania exports, imports and trade balance By Country. In 2018, Tanzania major trading partner countries for exports were Rwanda, Kenya, Congo, Dem. Rep., Zambia and Uganda and for imports they were China, India, United Arab Emirates, Saudi Arabia and South Africa.
Main Partner Countries
https://www.nordeatrade.com/en/explore-new-market/tanzania/trade-profile
Main Customers
(% of Exports)2018 Rwanda 18.7% Kenya 9.2% Zambia 7.3% Uganda 5.3% United States 4.1% See More Countries 55.4%
Eeenh, ninaposoma vitu kama hivi, naisikitikia sana nchi yangu hii Tanzania. Ujinga wa aina hii unasikitisha sana.Kama ni corona kati yao na sisi wapi kuna corona?
Eeenh, ninaposoma vitu kama hivi, naisikitikia sana nchi yangu hii Tanzania. Ujinga wa aina hii unasikitisha sana.
Ndio maana Mkapa aliwaita Marofa na wapumbavu, ukitaka Kabudi aende akawapigie magoti, kwanza wewe bado kinda ungelikuwa umejenga angarau banda ukapakana na jirani mkorofi usingekuwa unayasema haya, diplomacyia inafanyika Kwa mtu anayejielewa sio Kwa vichaa. Wewe imenizuia kuja kwako nawewe usije kwangu basi.Mtema mate
Huu ndio ushahidi ulionao mkuu 'mjinga wewe'?Nafikiri wewe ndo MPUMBAVU wa mwisho View attachment 1523703
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Huu ndio ushahidi ulionao mkuu 'mjinga wewe'?
Mbona unazidi kujidhalilisha, pamoja na kwamba jina lako linaeleza uhalisia wako?
Pole sana. Hata sijui umesoma hadi darasa la ngapi, lakini najua hata la saba mwenye kujitambua hawezi kuwa mjinga kiasi hiki.
Hatujawahi kuwa communists bali socialists.Itachukua muda mrefu sana Tanzania kuikuta Kenya kiuchumi. Kitendo cha kuwa mabepari tangu mwanzo kimewafaidisha zaidi kuliko sisi wakomunisti.
Itachukua muda mrefu sana Tanzania kuikuta Kenya kiuchumi. Kitendo cha kuwa mabepari tangu mwanzo kimewafaidisha zaidi kuliko sisi wakomunisti.
Kenya wakijiona Superpower wewe unapungukiwa nini
Naona una huruma sana na wakenya, hamia kwao.
Haiwezekeni mtu kakuchokoza yeye halafu wewe uliyechokozwa uwe wa kwanza kuomba msamaha. Ni ujinga
Kama unaumia na huo uamzi nenda kwa wakenya wao si ndo unaona wastaarabu sana.