Waziri mzigo Christopher Chiiza amjibu Nape

borncool

JF-Expert Member
Jul 8, 2013
226
49
Akiongea NA redio one kwenye kipindi cha Nipashe leo hii.Waziri Wa kilimo,chakula na ushirika mheshimiwa Christopher Chiiza amjibu Nape akidai Nape amekurupuka kuongea pasipo kuuliza chama na serikal kwa makubwa ambayo wizara yake imefanya na kudai kukidhi matakwa ya kilimo kwa asilimia 118,hivyo kudai tena wa kumhukumu si yeye(Nape) bali wananchi, na akaongeza kuwa hayo si masuala ya kuongea hadharan bali angesubiri kuyaongea kwenye kamati kuu.
La kujiuliza:Hapa kazi,hivi hii wizara kweli imedorora????
 
Akiongea NA redio one kwenye kipindi cha Nipashe leo hii.Waziri Wa kilimo,chakula na ushirika mheshimiwa Christopher Chiiza amjibu Nape akidai Nape amekurupuka kuongea pasipo kuuliza chama na serikal kwa makubwa ambayo wizara yake imefanya na kudai kukidhi matakwa ya kilimo kwa asilimia 118,hivyo kudai tena wa kumhukumu si yeye(Nape) bali wananchi, na akaongeza kuwa hayo si masuala ya kuongea hadharan bali angesubiri kuyaongea kwenye ka La kujiuliza:Hapa kazi,hivi hii wizara kweli imedorora????


Nape tatizo sio maawaziri jamani bali wewe unajua ni mfumo ndani ya CHAMA wala msiwqdanganye wananchi ati mawaziri husika ndioo tatizo jamani hivyo basi tujirekebishe ndani ya chama kwanza..otherwise basi endelea na ziara piga usanii upate allowqnce zako kiroho safi..
F
 
Serikali yote ya ccm imeoza,anachofanya nape kwa sasa ni kampeni za urais 2015 kwa mama Asha Rose Migiro
 
Nape yuko sahihi huyu waziri ni shipa kabisa,hadi sasa mbegu ya pamba hakuna na muda wa kupanda ndo huu.
 
Narudia tena tatizo sio kabisaa hayo mambo ya mawaziri hawana kosa..kosa ni mfumo hebu kueni realistics na sio kucomment ili kujaza forums..mfumo wa chama from the root umeharibika sana hawa mawaziri watafanyeje kwenye mazingira ya rushwa, ufisadi, siasa mbovu na chafu haiwezekani tutabaki kutafuta mchawi Tanzania..wachawi ni CHAMA CHETU..na kauli mbiu yetu pamoja tutashinda...
 
Narudia tena tatizo sio kabisaa hayo mambo ya mawaziri hawana kosa..kosa ni mfumo hebu kueni realistics na sio kucomment ili kujaza forums..mfumo wa chama from the root umeharibika sana hawa mawaziri watafanyeje kwenye mazingira ya rushwa, ufisadi, siasa mbovu na chafu haiwezekani tutabaki kutafuta mchawi Tanzania..wachawi ni CHAMA CHETU..na kauli mbiu yetu pamoja tutashinda...

Chama????,uwezo wa mtu huoneshwa na mhusika mwenyewe mi naona
 
Waziri amesema "Nape angeuliza kwanza"pia"haya mambo alitakiwa aongelee kwenye vikao vya chama"
Sasa hii inatofauti gani na ile aliyosema Bwana Dogo ZZK kuwa Chadema walitaka "WATONYWE" kabla ya yeye kwenda huko kwenye PAC yake!?
 
Back
Top Bottom