Waziri Mwinyi alikwepa JKT kwa mujibu wa sheria

Alisoma Tambaza kabla baba yake hajawa Rais wa Tz. Hii ni miaka ya 80. Baadaye alikwepa kujiunga na JKT na akatokomea Uingereza kusomea udaktari. Hata baada ya kurudi, hakujiunga na leo hii ameweza hata kuwa waziri wa Ulinzi.

Serikali inajaribu kuongeza muda wa vijana kujiunga na jkt. Yaonekana, kwa mujibu wa serikali hii, JKT ni nzuri sana, kama ni hivi yabidi tujiulize sana juu ya viongozi waliopewa madaraka makubwa wakati walikwepa kwa makusudi kabisa kujiunga na mafunzo haya.
Du.....!
 
Tatizo linakuwa kubwa zaidi hasa inapotokea wanaoung'ang'ania ubaki kama ulivyo wengi ni viongozi kutoka Tanganyika. Umesikia jinsi wanavyotishia kutumia jeshi kuulinda muungano, umesikia jinsi wanavyokwenda mpaka makanisani kueneza chuki kati ya wakristo na waislamu, umemsikia mwendawazimu mmoja mwimbaji aliyejaa tumbo kama tembo anavyosema eti ataingia msituni endapo serikali 3 zitaanzishwa, umemsikia Makonda, Nape, Kinana Nk. Ili mradi tatizo la kuleta fair muungano liko kwa watanganyika zaidi kuliko wazanzibari. Wao hawana tatizo tayari wanakila kitu cha kuitambulisha nchi yao. Watanganyika ambao ungetegemea kuwa mstari wa mbele kupigania nchi yao ndio wa kwanza kuikana. Ndio maana rafiki yangu mzanzibari aliniambia kuwa "kila mzanzibari ni mtanzania lakini si kila mtanzania ni mzanzibari" kwa maana ya kuwa yeye ana haki 2 Moja kama mzanzibari na ya pili kama mtanzania. Kwa maana ya kwamba yeye anahaki ya kufanya chochote kwa maana ya haki zote ikiwa ni pamoja na kumiliki ardhi zanzibar na tanganyika lakini mtanganyika hana haki zanzibar isipokuwa upande wa tanganyika tu. Ndio maana haiwezi kutokea mtanganyika akawa waziri wa wizara ya masuala yanayoihusu tu zanzibar lakini ikawezekana mzanzibari kuwa waziri wa wizara ya masuala ya tanganyika tu wakati yeye si mtanganyika kama ilivyowahi kuwa kwa Mwinyi huyu huyu kuwa waziri wa afya upande wa tanganyika wizara isiyo ya muungano wakati yeye ni mbunge kutoka zanzibar. Ndivyo inavyokuwa kwa wabunge kutokana zanzibar kujadili bajeti za wizara za tanganyika tu wakati watanganyika hawawezi kunusa bungeni zanzibar kujadili masuala ya zanzibar. Hata hao wazanzibari wachache wanafiki wanaojifanya kusimamia serikali 2 wanafanya hivyo wakijua kuwa kwa vyovyote serikali yao na haki zote za nchi yao zitakuwepo na tayari wameahidiwa kuongezewa mambo mengine zaidi ya kuwafanya wawe huru wakati tanganyika itabaki kama mimba yaani mtoto aliyetumboni ambaye hawezi kutambulika. Sasa ukitaka uwashe moto ndio uwajue wazanzibari kuwa hawautaki muungano na wako tayari kuifia nchi yao zungumzia serikali moja kwa maana ya kwamba zanziba nayo ife yaani yakwamba irudi tumboni kama kama tanganyika ili iwepo serikali moja tu. Hili hata viongozi wa tanganyika wanaogopa hata kuligusa ili kutowaudhi wazanzibari ambao wanaujua msimamo wao kuhusu nchi yao. Ukiwasikiliza viongozi watanganyika wanaoikana nchi yao ya asili utagundua kuwa ni wajinga, waoga, hawana uzalendo, walinda madaraka na matumbo yao tu. Hata huyo anayejifanya kutaka kutumia jeshi hawezi kuthubutu kutamka serikali moja! Ukiwasikiliza Nape na Kinana wanapayuka na kupoteza nguvu na pesa lakini ni kwaajili ya maslahi yao na chama chao binafsi. Infact hawana hoja na hawana wanalolijua! HONGERENI WAZANZIBARI KWA UZALENDO KWA NCHI YENU NA KUJITAMBUA. SHAME ON TANGANYIKA LEADERS!
Mkuu sijausoma huu mchango wako , maana umeandika furushinla maneno , tena kwenye kiroba!
 
hii ni kashfa kubwa tungekuwa na taratibu kama za wenzetu hii ilikuwa tosha kujiondoa kwenye king'ang'anyiro.
kwa marekani ni kosa kubwa kukwepa jeshi kwa mujibu wa sheria
 
Ndiyo, ni ndoto kwa nchi hizi zinazoendeshwa kwa utashi wa mtu. Tunaambiwa wote tu sawa mbele ya sheria kumbe some are more equal than others.
Mleta mada alivyoiweka ni kama vile Mwinyi alifanya makusudi kukwepa, wakati alikuwa masomoni na ni masomo hayo yaliyochangia kumpatia nafasi alizokuja kuzipata serikalini.

Hakwenda jeshini lakini hicho sio kigezo cha yeye kushindwa kuwa waziri wa ulinzi baada ya kupewa nafasi.
 
Alisoma Tambaza kabla baba yake hajawa Rais wa Tz. Hii ni miaka ya 80. Baadaye alikwepa kujiunga na JKT na akatokomea Uingereza kusomea udaktari. Hata baada ya kurudi, hakujiunga na leo hii ameweza hata kuwa waziri wa Ulinzi.

Serikali inajaribu kuongeza muda wa vijana kujiunga na jkt. Yaonekana, kwa mujibu wa serikali hii, JKT ni nzuri sana, kama ni hivi yabidi tujiulize sana juu ya viongozi waliopewa madaraka makubwa wakati walikwepa kwa makusudi kabisa kujiunga na mafunzo haya.
tupe ushahidi mkuu,humu siyo kijiweni kuropoka tu hii ni forum ya watu wanaoongea facts with evidence
 
Unataka ushahidi wa cheti cha JKT kischokuwa na maelezo au ushahidi gani? Ushahidi kwamba wewe una elimu ndogo nitautoa wapi?
Mwambie azungumze na kusema wapi alipiga kwata badala ya kujifanya bubu!
 
Kwa hiyo mtu huyu sasa atakuwa mkuu wa nchi ya zanzibar! Huko kwingine hata kama uliwahi vuta bangi ukiwa na miaka 15, utaulizwa mpaka utapike. Sisi mtu anazawadiwa!
 
Lisu alipitia?

..Lissu amepitia JKT, ila sijui ali-survive vipi.😂😂

..sijui wewe mwenzangu ni wa mwaka gani, lakini wakati sisi tunasoma mafunzo ya JKT yalikuwa muhimu sana.

..tulipochaguliwa kwenda chuo kikuu, wakati wa kujiandikisha, moja ya vyeti tulivyotakiwa kuonyesha ilikuwa ni cheti cha JKT.

..pia waliokwepa kwenda JKT walikuwa wakitolewa makazini na kuletwa makambini kutumikia kwa mujibu wa sheria.

..mimi nilikwenda JKT nilipomaliza form 6, lakini nilikutana na watu wazima waliotokea makazini ambao walikuwa wamekwepa kwenda JKT walipomaliza a-level.
 
Kwanza inabidi uweke record zako vizuiri. Dr. Hussein Mwinyi alimaliza Tambaza Form VI na baadaye alikwenda Turkey kusomea Medical Doctor. Baada ya kuweka records hizo vizuri, sasa ngojai nikusaidie kwa wale wanaoukupinga au kukubeza. Miaka hiyo kwenda JKT kwa mwanafunzi aliyemaliza F VI ilikuwa ni kwa MUJIBU WA SHERIA. Aidha kwa wale ambao hawakwenda JKT in one way or another walitakiwa kwenda JKT baada ya kumaliza mafunzo ya vyuo. Baada ya ufafanuzi huo. Dr. Hussein Mwinyi kutokwenda JKT baada ya kumaliza F VI na MD Turkey, ALIVUNJA SHERIA za nchi. Kulikuwa hakuna option ya KWENDA AU KUTOKWENDA, ilikuwa ni LAZIMA KWA MUJIBU WA SHERIA. Kama hiyo SHERIA ya kwenda JKT ilikuwa mbaya, THAT IS ANOTHER CUP OF TEA!
Naomba na mimi nikuweke sawa kwa sababu Dk.Hussein alikuwa classmate wangu katika comb.ya PCB mwaka 1985 pale Tambaza.Hussen hakumaliza F 6 pale Tambaza.Mara baada ya baba yake kuchaguliwa kuwa Rais mwaka1985 alimpeleka Hussen Uturuki kama ulivyoeleza.Na haijulikani kama alimaliza F6 huko alikokwenda labda mitaala ya Elimu ya Uturuki iwe inafanana na ya nchi yetu.Lakini mpaka namaliza pale Tambaza mwaka1987 kabla sijaenda Makutupora JKT kwa mjibu wa Sheria sikuwahi kumwona Hussen
wala kusikia kambi yo yote ya JKT aliyohudhuria mafunzo.
Nikiri tu jambo moja tangu alipotuaga pale Tambaza sikuwahi kupata habari zake tena mpaka nilipopata habari zisizo rasmi (ambazo sikuziamini)kwamba alikuja nchini kusomea MD pale MUHAS ambapo inasemekana alipigwa disco mwaka wa kwanza akaamua kwenda kusoma kozi hiyo Uturuki.
 
Tatizo linakuwa kubwa zaidi hasa inapotokea wanaoung'ang'ania ubaki kama ulivyo wengi ni viongozi kutoka Tanganyika. Umesikia jinsi wanavyotishia kutumia jeshi kuulinda muungano, umesikia jinsi wanavyokwenda mpaka makanisani kueneza chuki kati ya wakristo na waislamu, umemsikia mwendawazimu mmoja mwimbaji aliyejaa tumbo kama tembo anavyosema eti ataingia msituni endapo serikali 3 zitaanzishwa, umemsikia Makonda, Nape, Kinana Nk. Ili mradi tatizo la kuleta fair muungano liko kwa watanganyika zaidi kuliko wazanzibari. Wao hawana tatizo tayari wanakila kitu cha kuitambulisha nchi yao. Watanganyika ambao ungetegemea kuwa mstari wa mbele kupigania nchi yao ndio wa kwanza kuikana. Ndio maana rafiki yangu mzanzibari aliniambia kuwa "kila mzanzibari ni mtanzania lakini si kila mtanzania ni mzanzibari" kwa maana ya kuwa yeye ana haki 2 Moja kama mzanzibari na ya pili kama mtanzania. Kwa maana ya kwamba yeye anahaki ya kufanya chochote kwa maana ya haki zote ikiwa ni pamoja na kumiliki ardhi zanzibar na tanganyika lakini mtanganyika hana haki zanzibar isipokuwa upande wa tanganyika tu. Ndio maana haiwezi kutokea mtanganyika akawa waziri wa wizara ya masuala yanayoihusu tu zanzibar lakini ikawezekana mzanzibari kuwa waziri wa wizara ya masuala ya tanganyika tu wakati yeye si mtanganyika kama ilivyowahi kuwa kwa Mwinyi huyu huyu kuwa waziri wa afya upande wa tanganyika wizara isiyo ya muungano wakati yeye ni mbunge kutoka zanzibar. Ndivyo inavyokuwa kwa wabunge kutokana zanzibar kujadili bajeti za wizara za tanganyika tu wakati watanganyika hawawezi kunusa bungeni zanzibar kujadili masuala ya zanzibar. Hata hao wazanzibari wachache wanafiki wanaojifanya kusimamia serikali 2 wanafanya hivyo wakijua kuwa kwa vyovyote serikali yao na haki zote za nchi yao zitakuwepo na tayari wameahidiwa kuongezewa mambo mengine zaidi ya kuwafanya wawe huru wakati tanganyika itabaki kama mimba yaani mtoto aliyetumboni ambaye hawezi kutambulika. Sasa ukitaka uwashe moto ndio uwajue wazanzibari kuwa hawautaki muungano na wako tayari kuifia nchi yao zungumzia serikali moja kwa maana ya kwamba zanziba nayo ife yaani yakwamba irudi tumboni kama kama tanganyika ili iwepo serikali moja tu. Hili hata viongozi wa tanganyika wanaogopa hata kuligusa ili kutowaudhi wazanzibari ambao wanaujua msimamo wao kuhusu nchi yao. Ukiwasikiliza viongozi watanganyika wanaoikana nchi yao ya asili utagundua kuwa ni wajinga, waoga, hawana uzalendo, walinda madaraka na matumbo yao tu. Hata huyo anayejifanya kutaka kutumia jeshi hawezi kuthubutu kutamka serikali moja! Ukiwasikiliza Nape na Kinana wanapayuka na kupoteza nguvu na pesa lakini ni kwaajili ya maslahi yao na chama chao binafsi. Infact hawana hoja na hawana wanalolijua! HONGERENI WAZANZIBARI KWA UZALENDO KWA NCHI YENU NA KUJITAMBUA. SHAME ON TANGANYIKA LEADERS!
Dahh.. Mkuu umeandika mambo kwa uweledi kabisa
 
Naomba na mimi nikuweke sawa kwa sababu Dk.Hussein alikuwa classmate wangu katika comb.ya PCB mwaka 1985 pale Tambaza.Hussen hakumaliza F 6 pale Tambaza.Mara baada ya baba yake kuchaguliwa kuwa Rais mwaka1985 alimpeleka Hussen Uturuki kama ulivyoeleza.Na haijulikani kama alimaliza F6 huko alikokwenda labda mitaala ya Elimu ya Uturuki iwe inafanana na ya nchi yetu.Lakini mpaka namaliza pale Tambaza mwaka1987 kabla sijaenda Makutupora JKT kwa mjibu wa Sheria sikuwahi kumwona Hussen
wala kusikia kambi yo yote ya JKT aliyohudhuria mafunzo.
Nikiri tu jambo moja tangu alipotuaga pale Tambaza sikuwahi kupata habari zake tena mpaka nilipopata habari zisizo rasmi (ambazo sikuziamini)kwamba alikuja nchini kusomea MD pale MUHAS ambapo inasemekana alipigwa disco mwaka wa kwanza akaamua kwenda kusoma kozi hiyo Uturuki.
Stori yako inachanganyaa..

Mara Hussein Mwinyi aliondoka kwenda Uturuki hakumaliza form 6!!!

Mara akarudi MUHAS!!!

Mara akaenda tena Uturuki!!!

Tuweke sawa mkuu
 
Naomba na mimi nikuweke sawa kwa sababu Dk.Hussein alikuwa classmate wangu katika comb.ya PCB mwaka 1985 pale Tambaza.Hussen hakumaliza F 6 pale Tambaza.Mara baada ya baba yake kuchaguliwa kuwa Rais mwaka1985 alimpeleka Hussen Uturuki kama ulivyoeleza.Na haijulikani kama alimaliza F6 huko alikokwenda labda mitaala ya Elimu ya Uturuki iwe inafanana na ya nchi yetu.Lakini mpaka namaliza pale Tambaza mwaka1987 kabla sijaenda Makutupora JKT kwa mjibu wa Sheria sikuwahi kumwona Hussen
wala kusikia kambi yo yote ya JKT aliyohudhuria mafunzo.
Nikiri tu jambo moja tangu alipotuaga pale Tambaza sikuwahi kupata habari zake tena mpaka nilipopata habari zisizo rasmi (ambazo sikuziamini)kwamba alikuja nchini kusomea MD pale MUHAS ambapo inasemekana alipigwa disco mwaka wa kwanza akaamua kwenda kusoma kozi hiyo Uturuki.
Ulisoma na kina Juma na marehemu Mfamau
 
Baadaye alikwepa kujiunga na JKT na akatokomea Uingereza kusomea udaktari. Hata baada ya kurudi, hakujiunga na leo hii ameweza hata kuwa waziri wa Ulinzi.
 
Back
Top Bottom