Waziri Mwigulu unasema miamala ya simu haijadorora? Mbona namba zinakataa?

Hata enzi za Mwendazake yalikuwa hayahaya ya uongo na TRA yao,watu wakasema wanapika data wao wakabisha,baada ya kupora akaunti za watu zikakauka mapato yakashuka na kutangaza mapato wakaacha.

Miezi kadhaa mbele baada ya kufariki Mama anatuambia uchumi umeyumba sijui Covid visingizio vingi vya uongo
 
Mimi hata sikutaka kufuatilia chochote,, nilijua tu anadanganya.
Bado anaendelea na ubishi badala ya kujirekebisha.
Ni hopeless kabisa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Pale wanatafuta njia ya kupiga reverse mkuu-Nilimwelewa kiutu uzima.Wameshajua wamefeli sana sasa wanaongea haya ili wakipiga reverse wasiaibike.Hata 10B hawana
 
Mwanasiasa akikwambia usiku mwema, angalia vizuri kama jua kweli limezama.

Utafiti kidogo tu nilioufanya, kila wakala niliyeongea nae analalamika. Binafsi tangu tozo zianze nimetoa hela mara 2 tu. Wakati nilikuwa mtumiaji mkubwa wa Mobile Money, sasa hivi ni mwendo wa bank tu. Hata kama nakudai 10,000 tafuta wakala kaniwekee CRDB, mazafantas
 
Back
Top Bottom