Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

Na wananchi mchange wenyewe na kununua madawa na muweke hospitali na atakae Iba ahukumiwe kama mwizi wa yebo wanavyomhukumu mob justice
 
Taratibu lakini tutafikia lengo
Chakubanga
JamiiForums-1354159373.jpg
 
Hakika hayupo anayetupenda sana hadi atujengee miundombinu kwa ajili ya afya zetu.
ni lazima tujenge miundombinu ya afya sisi wenyewe kwa kodi zetu.
Hiyo ni heshima na thamani ya Uhuru kamili
.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Miaka 60 ya uhuru, mmekaa mnawasubiri wazungu waje wawajengee vyoo? Msahau.

Hata mimi ningekuwa mzungu hela zangu afadhali ningezitupa chooni kuliko kuwapa watu wasiojitambua.
 
Navitafuta sana....sivioni. nadhani wajenzi wameenda kujenga porini au wamevificha. Wajenge sehemu ambayo tunaweza vifikia kwa urahisi. Vituo vya afya 220

Waache kumchonganisha Rais na Wananchi, Pia waache kumshauri vibaya.
 
Samia ni fundi? vinajengwa na serikali mkuu
 
Naona ushaanza rusha mawe kwenye mzinga kuona ka nyuki wapo ama wakitoka wanauma

anyway mental manipulation is one of the living strategy for politician
 
Back
Top Bottom