Waziri Mwigulu Nchemba: Watu wanakamatwa kwa kufanya makosa

Mahakama kutamka huna kosa haimaanishi watu wasikukamate kama wanaona unafanya makosa

...Mahakama kutamka kuwa huna kosa it simply means waliokamata hawajui wajibu wao na wanatumia vibaya national resources, watu kama hawa ni wa kutimulia mbali kwa sababu ni mzigo na pia wanaifanya mahakama inakuwa bize for nothing.
 
Nikihesabu mawaziri wa ndani waliowahi kupita tangu nimeanza kuelewa nashindwa kupata jibu kwanini anaona kama hiyo nafasi ni yake na ya kudumu!
 
Mahakama kutamka huna kosa haimaanishi watu wasikukamate kama wanaona unafanya makosa
Mbona kuna watu wanaonekana wakifanya makosa lakini hawakamatwi? Hivi unafahamu kwamba watu wengi wanaona makonda alifanya makosa kuvamia Cloudz lakini mpaka sasa Polisi wao hawajaona ila wameweza kuona katibu mkuu wa Chadema akifanya kosa kule Songea. Mungu katupa amani tusimjaribu
 
...Mahakama kutamka kuwa huna kosa it simply means waliokamata hawajui wajibu wao na wanatumia vibaya national resources, watu kama hawa ni wa kutimulia mbali kwa sababu ni mzigo na pia wanaifanya mahakama inakuwa bize for nothing.
Na mahakama kutamka kuwa "Una kosa" kwa kila shtaka unalopelekwa wewe ndio unaona ni haki!?Sasa mahakama ni za nini ikiwa polisi na watawala wanauwezo wa kutafsiri vema sheria?? Nadhani tukiacha siasa na kusema ukweli itatusaidia kupata haki!
 
Nilitegemea waziri kijana kama huyu ambaye awamu ya nne alionyesha msimamo mzuri to do better than this,haya ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama,na hili wengi wetu hatulioni kuwa linapanua wigo wa uhasama kati ya raia na polisi,raia kabla ya kuwachukulia polisi kama walinzi wao wa amani wanakuwa maadui na athari zake tunaziona pale Kibiti,uhusiano wa raia na polisi ungekuwa mzuri hali ingeshakuwa back to normal,lakini raia hawatoi ushirikiano ,wenzetu wameweza why sisi ?ukipata pacha unawapigia polisi na wanakuja kukusaidia hili je linatokea hapa kwetu?
 
Mbona kuna watu wanaonekana wakifanya makosa lakini hawakamatwi? Hivi unafahamu kwamba watu wengi wanaona makonda alifanya makosa kuvamia Cloudz lakini mpaka sasa Polisi wao hawajaona ila wameweza kuona katibu mkuu wa Chadema akifanya kosa kule Songea. Mungu katupa amani tusimjaribu
Makonda alienda TV akiwa na polisi halali wa dola na sio kwamba alibeba wahuni mitaani!sasa polisi wampeleke tena mahakamani??Mvamizi anakuwa na malengo either kuiba ama kujeruhi!Sijajua makonda alivamia akaiba/Kujeruhi ama kuua kitu gani??Unless tupate new definition ya uvamizi!
 
Makosa hayajaishia Kuiba, kujeruhi au kuua, ingekua hivyo viongozi wa upinzani wasingeguswa kabisa na Polisi kwasababu hawajawahi kupelekwa mahakamani kwa makosa hayo naomba niishie tu kusema Mungu katupa amani tusifanye kufuru
 
Tuna neno linaitwa "usu" likiwa na maana yakupitia mafunzo ukiwa kwenye uangalizi kwa matarajio ya kufuzu. Hapa kwetu tumekuwa tunaongozwa na watawala usu. Huyo waziri hata mauaji aliyokwisha yafanya Tabora Arusha hakufuzu. Kwa kweli miaka yetu ya uhuru ni majanga.
 
Mbona wakipelekwa mahakamani wanakutwa hawana kosa na kuachiwa?
Anayekukamata ndo anatakiwa kuiaminisha kuwa unamakosa l. Tatizo linakuja pale ambapo shahidi anashindwa kuterea hoja zake kwa ufasaha na kuimanisha mahakama.

Mahakama itamwachia MTU hata kama kiuhalisia anamakosa ila tu kwa vile mashahidi wa mshitaki wameshindwa kijieleza barabara kwa ufasaha na usahihi na ulinganifu, na ufanano wa hoja zao either kwa asababu ya woga mahakamani au maandalizi hafifu au kutoijua sheria inafanyeje kazi kesi inapotea.

Siyo kila aachiwaye na mahakama ni innocent kiuhalisia...

Unatakiwa ujue mfumo wetu wa kimahakama ni "Adversarial" siyo "inquisitorial"...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda alienda TV akiwa na polisi halali wa dola na sio kwamba alibeba wahuni mitaani!sasa polisi wampeleke tena mahakamani??Mvamizi anakuwa na malengo either kuiba ama kujeruhi!Sijajua makonda alivamia akaiba/Kujeruhi ama kuua kitu gani??Unless tupate new definition ya uvamizi!
Mwenyewe alikanusha. Ile clip "ilitengenezwa" na clouds ili kumchafua mtoto wa baba.
 
Back
Top Bottom