Waziri Mwigulu Nchemba ndani ya Star Tv

Feb 7, 2012
89
24
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba atakuwa live katika kituo cha Star Tv kwenye kipindi cha tuongee asubuhi dakika chache zijazo.

Usikose kufuatilia
 
Dah breaking news za siku hizi.....nonsense.Mnashusha daraja JF.
 
Nesi ajitokeze kudai fidia kwa Mh. waziri kwa kunufaika na jina lake kwa miaka mingi. Wanasheria msaidieni huyu nesi apate fidia CC Tundu Lissu.
 

Attachments

  • 1477024047684.jpg
    1477024047684.jpg
    27 KB · Views: 26
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom