Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
Nimesoma huu uzi hapa chini ambao link yake nimeiweka hapa chini kwakweli nimesikitika sana maana yaliyoelezwa yanaumiza sana na kukatisha tamaa.
Kamanda Mdude CHADEMA Nyagali ashinda kesi ya uchochezi baada ushahidi kukosekana
Waheshimiwa kama kweli haya yanafanywa na Polisi na hakuna hatua zinazochukuliwa na taarifa hizi zinasambaa kwa raia,basi najiuliza sana uhusiano wa Jeshi hili na raia utakuwaje katika nchi hii.
Waheshimiwa,nimeishiwa nguvu kabisa na ninashindwa kuamini kabisa kama Jeshi letu limefikia hatua hii.