Waziri Mwigulu Nchemba kuzindua kampeni za Chama Cha Mapinduzi ktk Jimbo la Longido

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Good morning all!

Leo tarehe 23/12/2017 Mh Mwigulu Nchemba ataongoza uzindua wa kampeni za Chama Tawala katika Jimbo la Longindo.

Makada wote tujumuike kwenye uzinduzi huo.

Niwatakie alfajiri njema!

Sabato njema!
 
Hawana haja ya kampeni,hawana haja ya kushindanisha sera maana hakuna chama kinzani kinachowafunga kukosoa sera zao.Ni sawa na team kuingia uwanjani na kuanza kucheza mechi bila team ya pili.

Mambo haya yana athari zake,kama yataachwa kuendelea,ni hasara ya muda mrefu,iwe katika akili za watu au mioyo ya kisasi.

Siasa za jeshi la polisi,ubabe na uonevu,havina afya kwa mustakhabali wa Taifa,hata Mungu na ukuu wake,bado kuna viumbe walitofautiana naye,kwanini isiwe nyie? Hamuwezi kupendwa na kila mtu
 
Hawana haja ya kampeni,hawana haja ya kushindanisha sera maana hakuna chama kinzani kinachowafunga kukosoa sera zao.Ni sawa na team kuingia uwanjani na kuanza kucheza mechi bila team ya pili.

Mambo haya yana athari zake,kama yataachwa kuendelea,ni hasara ya muda mrefu,iwe katika akili za watu au mioyo ya kisasi.

Siasa za jeshi la polisi,ubabe na uonevu,havina afya kwa mustakhabali wa Taifa,hata Mungu na ukuu wake,bado kuna viumbe walitofautiana naye,kwanini isiwe nyie?Hamuwezi kupendwa na kila mtu
Wamtangaze huyo tu nani wa kuwazuia? Polisi ni wao, mahakama?? , jeshi "tume ya uchaguzi" (kama kuna tume anyway)
 
Mwanzoni sikuwa naamini haya mambo ya kununuana,lakini hili la huyu wa Kinondoni kuachia ngazi halafu tena kutangaza kugombea kwa chama alichohamia,kinathibitisha kauli za watu kuwa jamaa alipewa mlungula ili awape jimbo CCM na baadae watampa agombee kumalizia hiyo miaka miwili.

Maana andiko lake linaonyesha hata yeye ana mgogoro wa nafsi juu ya alichokifanya.Unasema unabana matumizi?hapohapo "unahonga" watu waachie ubunge na unatumia bilioni 03 za uchaguzi mdogo?Aibu sana
 
Amin na ukatili wa kutisha wote aliokuwa nao, aliua laki tano, na bado waganda wakabaki, na hapa watabaki!
Kibaya zaidi hawa wanaotaka kuyafanya haya hawaangalii historia ya yaliyotokea kama wanayotaka kuyafanya.

Ipo siku watajilaumu na watajutia sana, waendelee kujidanganya eti wanaua na kumaliza upinzani ilihali humohumo miongoni mwao wapo pia wapinzani.
 
Hawana haja ya kampeni,hawana haja ya kushindanisha sera maana hakuna chama kinzani kinachowafunga kukosoa sera zao.Ni sawa na team kuingia uwanjani na kuanza kucheza mechi bila team ya pili.

Mambo haya yana athari zake,kama yataachwa kuendelea,ni hasara ya muda mrefu,iwe katika akili za watu au mioyo ya kisasi.

Siasa za jeshi la polisi,ubabe na uonevu,havina afya kwa mustakhabali wa Taifa,hata Mungu na ukuu wake,bado kuna viumbe walitofautiana naye,kwanini isiwe nyie?Hamuwezi kupendwa na kila mtu
Tatizo la chadema ni wabaguzi na kujiona wao ni Bora kuliko vyama vingine. Mtabaki ivyo ivyo mwishowe mtatoweka hata katika daftari la msajili. Nendeni mkaendelee kufanya sherehe ya kumzika Mbwa
 
Mwanzoni sikuwa naamini haya mambo ya kununuana,lakini hili la huyu wa Kinondoni kuachia ngazi halafu tena kutangaza kugombea kwa chama alichohamia,kinathibitisha kauli za watu kuwa jamaa alipewa mlungula ili awape jimbo CCM na baadae watampa agombee kumalizia hiyo miaka miwili.

Maana andiko lake linaonyesha hata yeye ana mgogoro wa nafsi juu ya alichokifanya.Unasema unabana matumizi?hapohapo "unahonga" watu waachie ubunge na unatumia bilioni 03 za uchaguzi mdogo?Aibu sana
Mtalalamika weee na Nyalandu pia mlimuhonga shilingi ngapi?
 
Japo nimeanza kufuatilia siasa hivi karibuni, za awamu hii zinashangaza sana.....

Tusikate tamaa tuseme hata watumalize na Nissan zao japo hawatatumaliza.
Naona unamchokaza Leyma na Mbo_ weee watalaam wa kutungua watu chadema shauri yako
 
Huo siyo uchaguzi ni kujichagua wanainchi hata wakichagua wanae mtaka mna wapora ushindi kwa kutumia Polisi
 
Hawana haja ya kampeni,hawana haja ya kushindanisha sera maana hakuna chama kinzani kinachowafunga kukosoa sera zao.Ni sawa na team kuingia uwanjani na kuanza kucheza mechi bila team ya pili.

Mambo haya yana athari zake,kama yataachwa kuendelea,ni hasara ya muda mrefu,iwe katika akili za watu au mioyo ya kisasi.

Siasa za jeshi la polisi,ubabe na uonevu,havina afya kwa mustakhabali wa Taifa,hata Mungu na ukuu wake,bado kuna viumbe walitofautiana naye,kwanini isiwe nyie?Hamuwezi kupendwa na kila mtu

Siku ukichambua hayo unayodai.. naomba unitag nisome.. sijakusoma siku nyingi fulani au napitwa na yako?
 
Back
Top Bottom