Waziri Mwigulu Nchemba Alipomtembelea Msemaji wa Simba

Kichuya

Member
Jul 9, 2016
55
30
upload_2016-7-17_9-28-27.png

TASWIRA NNE, WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ALIVYOFIKA NYUMBANI KWA MANARA KUMJULIA HALI


MANENO YA HAJI MANARA, MSEMAJI WA SIMBA AMBAYE JICHO LAKE MOJA LIMEPATA TATIZO LA KUTOONA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh Mwigulu Lameck Nchemba leo jioni alifika kunijulia hali na kuniahidi Serikali inaangalia namna ya kunisaidia zaid katika tiba yangu.
Naishukuru sana serikali yangu ya CCM.

Manara anatarajia kuondoka nchini kesho kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu ya macho yake yote mawili. Moja likiwa halioni kabisa na jingine linaona kwa kiasi kidogo kabisa.


TASWIRA NNE, WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ALIVYOFIKA NYUMBANI KWA MANARA KUMJULIA HALI - SALEH JEMBE
 
Naishukuru sana serikali yangu ya CCM(nakishukuru sana chama changu cha CCM) ok poa get well soon manara.
 
Safi sana kiongozi, umefanya jambo la maana sana kumtembelea manara.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom