Waziri Mwigulu: Msiikimbie nchi kwa matatizo yanayotatulika

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,735
6,281
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara waliokimbilia Nakonde, Zambia, kwa maelezo kuwa huko kuna unafuu wa kodi kuliko Tunduma, Tanzania warejee, na malalamiko yao yatafanyiwa kazi. Amewataka wananchi kutoikimbia nchi yao kwa sababu ya matatizo yanayotatulika.
 
Yaani hii nchi ya kipumbavu sana yaani mashindano ya olimpiki tumepeleka wanamichezo hawazidi hata kumi..kudadeki yaan vitu rahisi kama hivyo navyo tunashindwa,nadhani hii nchi ni ya hovyo kuliko zote hapa duniani
 
Back
Top Bottom