Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,558
- 45,829
Wapi huko?Yani lita 3 huku kwetu ni 18,000 ambayo mwaka jana ilikua 11000 November.(Safi na Korie)hio alizeti haikamatiki(25,000 lita 3)
Alizeti lt 5 25,000
Lita 3 16,000 njoo nikuuzie
Wapi huko?Yani lita 3 huku kwetu ni 18,000 ambayo mwaka jana ilikua 11000 November.(Safi na Korie)hio alizeti haikamatiki(25,000 lita 3)
Nipm uletewe kwa bei nzuri lt 5 25,000Hiyo alizeti yenyewe mpaka uipate sasa.
Naona unachangamkia fursaNipm uletewe kwa bei nzuri lt 5 25,000
Watatue tatizo na sio maneno mengiWaziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote.
Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
HeheheheheWaziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote.
Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote.
Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ile meli tuliyoambiwa inapakuwa mafuta na ikimaliza mambo yatakuwa safi iko wapi tena?.