Waziri Mwakyembe kutumia mshahara wake kuhakikisha anawafunga waliomdhulumu Mzee Majuto mamilioni

Uko sitaki kwenda sema natakaga kujua wanapodai kazi zao zinaibiwa na wakati hakimiliki wanamuuzia step uwa wanamanisha nini
Kumuuzia sio kosa. Hata Hollywood wasanii wengi Maarufu hulipwa kwa kazi ya kucheza movie na akishamaliza kazi hana haki ingine zaidi ya mikataba binafsi ya matangazo nk. Vivyo hivyo kwa Story writer's nao wakishauza Story kinachobaki kwake ni recognition na kwenye award km Movie imeshinda tuzo fulani.

Hapa issue ni kwa nini wamtapeli
Mzee wa watu na kazi nzuri nyingi kawafanyia?

Ninamfahamu yule aliyemalizia filamu ya Stven Kanumba anaitwa Kimario. Yeye naye slidhulumiwa akashauriwa na Mzee Majuto aachane na Filam kabla hajalewa umaarufu kwanj ataishia kutapeliwa na hao wakubwa wao, huyu jamaa sasa hivi hajutii ushauri aluopewa ni tajiri mkubwa na baadhi ya waliomtapeli wanakopa kwake.
 
Hapo sijamuelewa Mwaki

kama ni kosa la jinai huyo Majuto akafungue jalada

polisi RB ikipatikana muhusika akamatwe Wakili wa

serekali DPPs office wapewe jalada wakiridhika waandae

mashtaka wakili wa serekali aendeshe kesi Court hela

yake ya mfukoni anaitoa vp hapo?

this is purely a state case
 
Ndicho nilichokuwa najiuliza na mimi!hivi siku hizi hela zimegeuka Hakimu? Anaposema atatumia hela zake kumfunga sijui anamaanisha nini? Ila kiukweli nipo pamoja na moyo wake kuhakikisha Mzee majuto au yeyote aliyefanya kazi halali kwa jasho lake basi apate haki yake!! Nachukia dhuluma kupita maelezo! Go Mwakyembe go!! Hakikisha kila mwenye haki basi anaipata! Japo haki nyingine zinachanganya! Kama ile ya Shigongo Vs CCM!
 
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhulumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata mshahara wake kuhakikisha anawafunga watu hao

Huyu si ndiye alisema atawafunga madereva wanaosimamisha magari porini na kuchimbisha dawa abiria, mbona tuliendelea kuona madereva wakifanya hayo na huku naye akipita kwenye barabara hizohizo, au aliyasema hayo akiwa anaigiza
 
Ni mwendelezo wa matamko tu. Lakini kuchimba dawa ovyo ovyo imepungua hakika
 
Back
Top Bottom