Waziri Mwakyembe asema michuano minne yaruhusiwa kuendelea bila mashabiki. Washangiliaji 10 waruhusiwa kwa kila timu

Hivi mipango yooote hiyo inapofanyika wanaishirikisha TFF na bodi ya ligi?

Kama wanaishirikisha , kwann wizara ndiyo itangaze na siyo TFF au bodi ya ligi?

Hivi kwenye michezo yote watakuwa wao ndiyo WARATIBU ichezejwe! Au ndo sehemu ya kuosha.

Hivi jiulize watazamaji 10 ndo nn? Eti wale wa vikundi vya ushangiliaji! Viwanja ni vikubwa cha msingi ni kuzingatia ukaaji.

Ticket ziuzwe kwa no ikifika idadi ambayo wataalam wa afya wanaamini ndiyo sahihi ticket zinaachwa kuuzwa.
Tunahitaji akili kubwa kama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom