Waziri Mwakyembe amemuomba Diamond Platnumz kubadilisha ratiba ya Wasafi Festival mkoani Iringa ili ahudhurie tamasha la JAMAFEST

Ivi iyo j'pili trh 22 sindio gemu letu na Sudan pale pale kwa mkapa
 
tamasha siku nane kwa hiyo platinumz kwa nini asiende siku ya pilu yake au hqta ya tatu?au wote wqtqtumbuiza kwa siku moja hiyo ya ufunguzi?
waanze ufunguzi na harmorapa.
amber ruty.mjomba .dudubaya.Kr.feroz .rayc.etc
mbona watu maarufu wengi tu
 
Back
Top Bottom