Waziri Mwakyembe aiagiza BMT ya Tenga kuzuia ubinafsishaji wa klabu za wanachama

Hivi Mwakyembe ashafunua mioyo yetu na kuona jinsi ilivyovunjika kwa aina ya uendeshaji wa hizi timu?? juzi tu hapa wachezaji wa timu pendwa wamegoma ila ye anaona sawa tu.

hii ndyo afrika mkuu! viongozi wanapenda wananchi wao wawe maskini coz umaskini ndyo mtaji wao mkuu

juzi kati nilikuwa nasoma post ya strive masiyiwa fb.....
hyu ni bilionea wa zimbabwe alikuja na project ya kuwekeza billilns of shillings kwenye soka la zimbabwe ili zimbambwe iweze kufuzu kombe la dunia bila shida....

kilichotokea serikali ya mugabe kwa kuona hili jambo litampa umaarufu na kumuongezea ushawishi miongoni mwa wazimbabwe ilipiga marufuku hii project na kutishia kuwafunga baadhi ya watumishi wake waliokuwa frontline kwenye hii project

sasa kaka just imagine mtu anafanya jambo kubwa kwa ajili ya kusaidia nchi yake still serikali inampiga vita wewe unategemea nn?
 
Hili tusahau ndugu yangu, kwanza ukae ukijua serikali haipendi simba na yanga ziendelee, hiv ushajiuliza hizo timu Zikiwa na viwanja vyao, watapata wapi mapato na uwanja wao taifa si utadoda.

hii ndyo afrika mkuu

wanasiasa wana hofu na matumbo yao kuliko wananchi wao
 
Acha kuweka chumvi mkuu alichosema sheria iko wazi mwekezaji asilimia 49 wanachama 51
Hakuna habari ya kuzuia hapo
 
hii ndyo afrika mkuu

wanasiasa wana hofu na matumbo yao kuliko wananchi wao
Na hii ndo inatufanya tusiendelee katika michezo, kipindi cha nyuma mauritius na cape verde tulikuwa tunajipigia lakini sa hivi hatuwawezi hata kidogo.
 
Acha kuweka chumvi mkuu alichosema sheria iko wazi mwekezaji asilimia 49 wanachama 51
Hakuna habari ya kuzuia hapo

Mo! anaweka mezani billion 20 still mnatka mmpe 49% yaan final say hana! kimbembe nyie walala hoi mtakapoambiwa mtoe zaidi ya izo billion 20 za uwekezaji ...hpo ndyo mtakapoanza kutafutana
 
Acha kuweka chumvi mkuu alichosema sheria iko wazi mwekezaji asilimia 49 wanachama 51
Hakuna habari ya kuzuia hapo
Hivi ushawai kuiona wapi kitu kama hii duniani, mwekezaji asiwe na sauti na kawekeza fedha Zake.
 
bongo kila kitu siasa ndio maana hatuwezi songa mbele,dunia nzima kwa sasa mpira unahitaji pesa ya kutosha ili uweze kufanikiwa,sasa kama serikali haitaki club zibinafsishwe wawe wanatoa pesa wao ili club ziweze kujiendesha
 
Mo! anaweka mezani billion 20 still mnatka mmpe 49% yaan final say hana! kimbembe nyie walala hoi mtakapoambiwa mtoe zaidi ya izo billion 20 za uwekezaji ...hpo ndyo mtakapoanza kutafutana
Ukweli ni kwamba atakuwa nayo kwa kuwa wanachama wetu wengi hawana uwezo wa kununua hisa kama akichukua 49 na wanachama uwezo wao ni kununua asilimia 10 tu za hisa hizo nyingine zitawekwa pembeni ziendelelee kuuzwa polepole
Asilimia 49 ni sawa na bilioni 20 na asilimia 51 bilioni 25 wengi wa wanachama wa simba uwezo wa. Kununua hisa hawana so utaona asilimia 40 yote itawekwa pembeni kuuzwa kwa wenye pesa zao hiyo ndio maana ya hisa huna pesa huwezi kununua hisa
 
.
kumbe mnajua uwezo wa kutoa billion 25 hamna! sasa kelele zann?

Na tajiri gani atajitokeza kununua hisa kwa timu ambayo haina thamani sokoni!
mo mwenyewe anaongozwa na .mapenzi tu! izo billion 20 kumlipa itachukua muda mrefu
 
Imesainiwa juzi na mwakiembe mwenyewe we unaishi dunia gani hujamsikiliza katibu mkuu wa BMT ndugu kiganja

labda wewe ndyo utakuwa unaishi dunia ya peke yako

mi ni mfuatiliaji mzuri sana wa habari kuanzia redio, magazeti, na tv lkn hyo habari ya sheria mpya cjaiskia
 
Back
Top Bottom