Waziri mwakyembe afanya ukaguzi wa bei za tiketi alfafjiri maeneo ya visiga

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
99
unnamed+%2875%29.jpg



Waziri wa Uchukuzi,Dr Harisoni Mwakembe afanya ukakuguzi wa tiketi ilikubaini mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli zakusafiria katika kipindi cha Xmass na mwaka mpya,badhi ya mabasi yalikamatwa nakuamuliwa kurudisha nauli zilizozidi abiria wao.zoezi hilo limefanyika majira ya alfajiri katika eneo la Visiga mkoani pwani na kila basi lilozidisha nauli lilitozwa faini ya shilingi laki mbili na nusu.
unnamed+%2876%29.jpg
 
Utafutwe utaratibu wa kielektroniki wa kuuza na kununua tiketi za mabasi.
 
Hivi SUMATRA bado hawajatoa viwango vya bodaboda na bajaji maana hawa jamaa wanatuibia sana.
 
hiyo haisaidii tiketi inaandikwa bei ya kawaida ila unauziwa gali hutaki unaacha wenzio wananunua kuna mtu jana kalipa elf 50
 
mwakiembe ubarikiwe,na mungu akulinde dhidi ya hawa makaburu weusi(wenyenacho)
 
hiyo haisaidii tiketi inaandikwa bei ya kawaida ila unauziwa gali hutaki unaacha wenzio wananunua kuna mtu jana kalipa elf 50

Lakini,angalau kidogo inastua stua kuliko kuacha tu.manake police na sumatra hiyo kazi ya kupandisha bei msimu wa xmas imeshawashinda.
AU LABDA NAO wanapata 10%
 
jana nimetoa 17000/= tiketi imeandikwa 13000/=...bus la tayasar linalofanya safari zake za tanga-dar...wakati nakuja tanga ckuwa na budi maana vinginevyo ningelala ubungo au kupanda coaster ya nauli 25000/= !
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom