Waziri mwakyembe afanya ukaguzi wa bei za tiketi alfafjiri maeneo ya visiga

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
195
unnamed+%2875%29.jpgWaziri wa Uchukuzi,Dr Harisoni Mwakembe afanya ukakuguzi wa tiketi ilikubaini mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli zakusafiria katika kipindi cha Xmass na mwaka mpya,badhi ya mabasi yalikamatwa nakuamuliwa kurudisha nauli zilizozidi abiria wao.zoezi hilo limefanyika majira ya alfajiri katika eneo la Visiga mkoani pwani na kila basi lilozidisha nauli lilitozwa faini ya shilingi laki mbili na nusu.
unnamed+%2876%29.jpg
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
58,657
2,000
Utafutwe utaratibu wa kielektroniki wa kuuza na kununua tiketi za mabasi.
 

Window7

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
3,936
2,000
Hivi SUMATRA bado hawajatoa viwango vya bodaboda na bajaji maana hawa jamaa wanatuibia sana.
 

mamseri

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
707
500
hiyo haisaidii tiketi inaandikwa bei ya kawaida ila unauziwa gali hutaki unaacha wenzio wananunua kuna mtu jana kalipa elf 50
 

damcon

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
214
195
mwakiembe ubarikiwe,na mungu akulinde dhidi ya hawa makaburu weusi(wenyenacho)
 

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
195
hiyo haisaidii tiketi inaandikwa bei ya kawaida ila unauziwa gali hutaki unaacha wenzio wananunua kuna mtu jana kalipa elf 50

Lakini,angalau kidogo inastua stua kuliko kuacha tu.manake police na sumatra hiyo kazi ya kupandisha bei msimu wa xmas imeshawashinda.
AU LABDA NAO wanapata 10%
 

authentic

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
661
250
jana nimetoa 17000/= tiketi imeandikwa 13000/=...bus la tayasar linalofanya safari zake za tanga-dar...wakati nakuja tanga ckuwa na budi maana vinginevyo ningelala ubungo au kupanda coaster ya nauli 25000/= !
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom