Ni karibu wiki sasa inaisha huyu Waziri alitoa Rushwa kata ya Mbalamaziwa mkoa wa Iringa , pasipo yeye kujua alirecodiwa na Mzalendo mmoja, CD tayari zimepelekwa kwa msimamizi wa uchaguzi na polisi, nasubiri kuona haki ikitendeka
Mbaya zaidi mgombea wa ccm naye anakesi ya kujibu miaka kadhaa iliyopita anatuhumiwa kwa kumpa mimba mtoto wa shule darasa la sita, na lingine linaloudhi zaidi mgombea huyo pia ni mganga wa jadi
Mh. Mulugo baada ya bajeti ya Wizara yako kupita, nenda sasa huko Iringa ukajibu tuhuma hiyo