GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,871
Nchi ya Rwanda, Wanyarwanda wenyewe pamoja na Rais Paul Kagame si Watu wenye Kupoteza muda na mambo ya Kipuuzi na kuendekeza Uswahili Uswahili bali ni Wapambanaji hasa, Wazalendo wa kweli na wana Malengo makubwa na ya mbali mno ambayo nashukuru baadhi tunaanza kuona Matunda yake.niko na classfied information, hii kiwada kilikuwa kijengwa tz, lakini wawekezaji wakaletewa lots of REDTAPE, na ndio wakahamia rwanda, pale rwanda kufungua kamupuni na kufungua account ya banki ya hio kamupuni yako ni kaa masaa 24 pekee, na kila kitu kinafanyika online, jaribu kufungua kamupuni au kuregister kamupuni hapa kwetu, utapata maumivu makali kuliko mama ambae anajifungua,tz tuna kila kitu, lakini underccm we are heading nowhere, sasa nani atawekeza katika taifa ambalo inamubadikia kesi ya ugaidi kiongi wa upizani, for sure tz will remain poor under samia