Waziri Muhongo apiga marufuku wafanyakazi wa wizara yake kupewa bonus

linguistics

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
4,713
4,369
Habri wana JF,

Waziri wa Nishati amekataa wafanyakazi wa wizara yake kupewa bonus akitolea mfano TANESCO hutoa bonus ya kati ya sh milioni 1 hadi milion 50 kwa mtu mmoja. Sasa kama gharama za nguzo moja ni sh laki 3 hivo hela hizo zitatumika kwenye nguzo nyingi sana.

Chanzo: TBC
 
Bonus kwa lipi walilokuwa wanafanya? Wakatwe tu maana walikuwa wanajipa bonus kila nguzo inapoanguka Shame
 
Habri wana JF,

Waziri wa Nishati amekataa wafanyakazi wa wizara yake kupewa bonus akitolea mfano TANESCO hutoa bonus ya kati ya sh milioni 1 hadi milion 50 kwa mtu mmoja. Sasa kama gharama za nguzo moja ni sh laki 3 hivo hela hizo zitatumika kwenye nguzo nyingi sana.

Chanzo: TBC
hao jamaa wa tanesco hawakustahili hata kupewa mshahara maana ni miongoni mwa mashirika yaliyofeli kabisa na kutuangusha kama taifa. nimeshangazwa na sio kwamba tu wanalipwa mshahara bali na bonus pia. makubwa haya.
 
Muhongo kaamua kuanzisha uzushi kutafuta public support
eti bonus ya milioni 50 wakati hakuna mtu mwenye mshahara wa milioni hata 30 huko TANESCO..

Anatafuta sifa kwa nguvu sana

Tanesco ni shirika lina malengo...likiweka malengo lazima bonus zilizoahidiwa zilipwe
zisipolipwa watu hawatajali sana kufikia targets....

watafanya kazi kwa mazoea....

Muhongo anajisifia kuwa umeme ilikuwa asilimia 17 tu ya watanzania
now ni asilimia 40...je nani aliefanya kazi hiyo?

kutoka asilimia 17 hadi 40 ndani ya miaka mitatu na bado waliofanya hiyo kazi wasilipwe bonus?
na mtu anaona sifa kutangaza mbele ya media?
 
Kama hautaki kutolipwa bonus acha kazi. wenye vyeti wasomi wamejaa sokoni.
 
Back
Top Bottom