Waziri mpya wa nishati na madini atateuliwa lini?

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,759
12,175
Kila siku najitahidi kusikiliza na kuangalia radio na tv zote za nchi kutaka kumfahamu nani ameteuliwa kuongoza wizara ya nishati na madini baada ya Prof. Muhongo kujiuzulu. Sijasikia wala kuona.

Ni lini mtu huyu atateuliwa ili kupunguza sintofahamu iliyopo wizarani hapo! Au hakuna mbunge ye yote wa CCM anayetosha kuongoza nafasi hiyo? Kama ni hivyo kwa nini asiazimwe kutoka taasisi nyingine?!
 
Tumia muda wako vizuri kufanya kazi wacha kutumia haya mambo ya siasa kama entertainment!
 
Nasikia Bashite anateuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani na yule msukuma anakuwa waziri wa nishati na madini
 
Tumia muda wako vizuri kufanya kazi wacha kutumia haya mambo ya siasa kama entertainment!
Kwa mtu hai siasa ni sehemu ya maisha! Iwe maisha ya furaha au huzuni!!

Asiyefanya siasa ni mfu!!!
 
Toa Mwinyi ulinzi mteue Mwamunyange u bunge then minister
Toa Mwingulu home affairs weka Adadi.
Mwinyi weka Nishati...madini
Mwingulu weka bench.....ni maoni yangu na ukiniuliza kwa nini nifanye hivyo sina jibu sahihi la kukupa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom