Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,784
- 12,226
Kila siku najitahidi kusikiliza na kuangalia radio na tv zote za nchi kutaka kumfahamu nani ameteuliwa kuongoza wizara ya nishati na madini baada ya Prof. Muhongo kujiuzulu. Sijasikia wala kuona.
Ni lini mtu huyu atateuliwa ili kupunguza sintofahamu iliyopo wizarani hapo! Au hakuna mbunge ye yote wa CCM anayetosha kuongoza nafasi hiyo? Kama ni hivyo kwa nini asiazimwe kutoka taasisi nyingine?!