Waziri Mpina afichua ufisadi wa kutisha soko la Ferry lililo chini ya Manispaa ya Chadema ya Ilala!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,439
Kutokana na ufisadi huo ambapo wajumbe wa bodi walipanga kujilipa sh 20 milioni kama kiinua mgongo, Waziri Mpina ameiagiza manispaa ya Ilala iliyo chini ya Chadema (kisiasa) kuivunjilia mbali bodi hiyo mara moja. Pia ameitaka manispaa hiyo ya Ilala kuifyekelea mbali menejimenti ya soko hilo la ferry.
Source Ayo tv!
 
1.5 tri ? Huo ndio unatisha haya mengine ni trailer!
 
Kutokana na ufisadi huo ambapo wajumbe wa bodi walipanga kujilipa sh 20 milioni kama kiinua mgongo, Waziri Mpina ameiagiza manispaa ya Ilala iliyo chini ya Chadema (kisiasa) kuivunjilia mbali bodi hiyo mara moja. Pia ameitaka manispaa hiyo ya Ilala kuifyekelea mbali menejimenti ya soko hilo la ferry.
Source Ayo tv!
Wee mjinga! Bodi siyo ya chadema na wala chadema haikusanyi kodi!
 
Kutokana na ufisadi huo ambapo wajumbe wa bodi walipanga kujilipa sh 20 milioni kama kiinua mgongo, Waziri Mpina ameiagiza manispaa ya Ilala iliyo chini ya Chadema (kisiasa) kuivunjilia mbali bodi hiyo mara moja. Pia ameitaka manispaa hiyo ya Ilala kuifyekelea mbali menejimenti ya soko hilo la ferry.
Source Ayo tv!

We mpuuzi tu, chadema ndo waloteua hiyo mgt na board!?
 
Kutokana na ufisadi huo ambapo wajumbe wa bodi walipanga kujilipa sh 20 milioni kama kiinua mgongo, Waziri Mpina ameiagiza manispaa ya Ilala iliyo chini ya Chadema (kisiasa) kuivunjilia mbali bodi hiyo mara moja. Pia ameitaka manispaa hiyo ya Ilala kuifyekelea mbali menejimenti ya soko hilo la ferry.
Source Ayo tv!
Ah!
 
Hawa jamaa ndo kutwa kucha wanasema Magufuli ni dictator,"pathetic"
Magufuli ninyooshee, hapa kazi
 
Inasikitisha sana majiji na manispaa zilizo chini ya Chadema zinaongoza kwa kushindwa kukusanya mapato ,kwa ufisadi na matumizi mabaya ya kodi za wananchi.

Chadema acheni wizi wa kodi za wananchi.
Hawa tungewapa hazina ingekuwa balaa......masoko tu wanakomba viushuru vyote!
 
Kutokana na ufisadi huo ambapo wajumbe wa bodi walipanga kujilipa sh 20 milioni kama kiinua mgongo, Waziri Mpina ameiagiza manispaa ya Ilala iliyo chini ya Chadema (kisiasa) kuivunjilia mbali bodi hiyo mara moja. Pia ameitaka manispaa hiyo ya Ilala kuifyekelea mbali menejimenti ya soko hilo la ferry.
Source Ayo tv!
Hivi ni mamlaka gani ina teua wajumbe wa bodi?? Maana mnaongea kama mna kiporo mdomoni
 
You have your brain embedded somewhere as you can not think on your own! Unaambiwa cha kufikiri na CCM. Mimi nafikiri zaidi, ufisadi wa kutisha ni wa trillion1.5 in tanzania history... hivi vingine ni vitoto vya 1.5 trl!

Mkuu, hivi ni vitukuu kama sio zilembwe vya 1.5 trl.
 
Back
Top Bottom