waziri Mpenda ngono

jitu1

Senior Member
Dec 28, 2009
162
27
Nimepata moja nyeti. kuna waziri wetu mmoja (Jina na Wizara nahifadhi) anapenda sana ndogo ndogo. hanywi pombe na ni mtu wa dini sana. Husafiri sana uswisi, marekani, adis ababa kwenye mikutano. Uswisi nasikia ana demu kabisa. namhurumia sana mke wake. Waziri huyu anatokea sehemu za mbeya....haya wana jamii...nimewapa hint...
 
Jitu, hizo ninyumba ndogo , na kama unavoona wengi wetu hapa JF wanasupport nyumba ndogo kwa hiyo huyo waziri unaye msema hana tofauti na wengi.
 
Huu ndio udaku wa ze ut@mu... haufai hapa kama huwezi dare talk openly, save it for your dinner
 
Hawa ni vibaraka wa zeutamu,wamekuwa na mkakati wa kulifanya hili jukwa liwe ze utamu,lkn wakae wakijua hapa kuna MAGREAT THINKERS wa kutambua technique zao
.
 
..washindwe na walegee kabisa.:mad:
 
Hivi mr kiroboto na fundiaminy ni mapacha wanaofanana nini? Kwakuwa they think alike...
 
Huyo waziri ana mawikinesi kama most of us tulivyo,kuwa waziri hakumvui ubinadamu wake wa kawaida.By the way kila mmoja ana ulevi wake.No one is perfect leave alone God and angels.
 
Hivi mr kiroboto na fundiaminy ni mapacha wanaofanana nini? Kwakuwa they think alike...

Naona hapo huyo mheshimiwa alitaka kuquote sijuhi vp.watu hata mkiwa mapacha hamuwezi andika kama hivyo

fundiaminy njoo jamvin unitake msamaha.
 
Huo udaku na hapa si mahali pake, habari za inasemekana, inasadikika, inadaiwa....... wapelekee amani,risasi, j5........
 
Jamani tuache tabia za kuwanyooshea vidole wenzetu kwa mabaya wayafanyayo yaliyo na sura za kizushi kama hili, yafaa tuwakamie na kuwanyooshea vidole wahujumu,mafisadi, matapeli, walaghai n.k, wakati sisi yetu tunayafumbia macho, kama tungekuwa tunawaanika hadhari watu wasingetamani hata kuwaona mbele za uso wa mwanadamu. Ni hayo tu wakubwa, nitakao-wakwaza mnisamehe jamani ndivyo nionavyo mimi.
 
Hawa ni vibaraka wa zeutamu,wamekuwa na mkakati wa kulifanya hili jukwa liwe ze utamu,lkn wakae wakijua hapa kuna MAGREAT THINKERS wa kutambua technique zao
.

Hawa ni vibaraka wa zeutamu,wamekuwa na mkakati wa kulifanya hili jukwa liwe ze utamu,lkn wakae wakijua hapa kuna MAGREAT THINKERS wa kutambua technique zao
..washindwe na walegee kabisa.:mad:

Hivi mr kiroboto na fundiaminy ni mapacha wanaofanana nini? Kwakuwa they think alike...

KAMA SIO COPY AND PASTE au SAME PERSON different log ins basi watakuwa more than IDENTICAL TWINS.
 
Anapenda watoto, then what? Unataka anayechukia watoto? Watu wengine bwana, hizo nyeti kampe shigongo labda anaweza kukupa hata angalau lunch lakini kwa hapa sisi hiyo haituhusu!!!!!!!! Hata awe na wangapi siyo kazi yetu kumpangia mtu. Ni ridhaa na hisia zake mwenyeweeeeee!!!!!
 
Wana JF tuna mengi ya kujadili kuhusu maendeleo ya nchi yetu, sasa mara twaletewa mambo ya waziri mpenda ngono na kumsema ana wanawake wengi. Si amtaje tu huyo Waziri (au Naibu Waziri??) ili nasi tujadili Tija ya Wizara yake na kutathmini kama hizo nyumba ndogo zinaathiri ubora wa huduma zinazotegemewa kutolewa na Wizara hiyo.
 
Nimepata moja nyeti. kuna waziri wetu mmoja (Jina na Wizara nahifadhi) anapenda sana ndogo ndogo. hanywi pombe na ni mtu wa dini sana. Husafiri sana uswisi, marekani, adis ababa kwenye mikutano. Uswisi nasikia ana demu kabisa. namhurumia sana mke wake. Waziri huyu anatokea sehemu za mbeya....haya wana jamii...nimewapa hint...

Nenda kamshitaki kwa Kikwete kuwa waziri wake hana maadili anapenda ndogondogo uone kama atakusikiliza!!
 
Nimepata moja nyeti. kuna waziri wetu mmoja (Jina na Wizara nahifadhi) anapenda sana ndogo ndogo. hanywi pombe na ni mtu wa dini sana. Husafiri sana uswisi, marekani, adis ababa kwenye mikutano. Uswisi nasikia ana demu kabisa. namhurumia sana mke wake. Waziri huyu anatokea sehemu za mbeya....haya wana jamii...nimewapa hint...
Hapa kuna mambo mawili tu kukuhusu wewe:.
1. Ama wewe nawe ni mpenda dogo dogo na huwa mnagongana na huyo waziri kwa hiyo mnamgongano wa masilahi.
2.Au wewe ni mbeya tu na ndiyo maana umeficha jina la waziri na kuacha watu wa-speculate.
 
Back
Top Bottom