Waziri Mollel enzi ya Magufuli ulisema chanjo inahitaji utafiti wa zaidi ya miaka 10 kumbe ulikuwa sahihi.

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,687
15,105
Kama waliochanjwa wakachomwa na busta juu bado wanaambukizwa corona kazi ya chanjo ni nini? Ndiyo swali la Gwajima.
Watanzania zaidi ya millioni 50 hawajachanja lakini Corona Omicroni imewaruka na kwenda kumshambulia Zito Kabwe aliyechanjwa.
Watetea chanjo ni wajinga kabisa ,mbona chanjo ya Ndui inatuzuia tusipate ndui kwa nini hii chanjo ya corona inashindwa kutuzuia tusipate corona?
Kwa hiyo hizi chanjo za corona ni sawa na malimau na tangawizi tu?

Sasa kwa nini baadhi ya Wataalam wanaitaja kuwa ni chanjo wakati inakosa sifa za kuitwa chanjo.?Kwa nini isiitwe dawa ya kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya Covid-19 hadi pale itakapothibitika bila shaka kwamba chanjo husika zinamkinga mchanjwa dhidi ya Covid-19 kwa asilimia 99.Tumeshudia baadhi wa Watu waliopata chanjo za Covid-19 kwenye inchi mbalimbali wakijitangaza kuwa wameungua Covid-19 pia baadhi ya nchi ambazo zimechanja asilimia kubwa ya watu wake zimeripoti maambukizi mapya kwa baadhi ya Laia wake ambao tayari wamechanjwa unajua suala hili linaendelea kuzua maswali juu ya hizi zinazoitwa chanjo za Covid-19.Ni wakati wa mwafaka kwa Wataalam husika wakati wakiendelea na Kampeni za inayoitwa kinga za Covid-19 wafanye utafiti wa hali ya Covid-19 kwa sasa kwa nchi ambazo asilimia kubwa ya watu wake wamechanjwa dhidi ya nchi ambazo asilimia kubwa ya watu wake hawajachanjwa na kwa lengo la kuona wapi wako kwenye status nzuri dhidi ya ugonjwa husika na kuja na majibu kwa maswali yatakayotokana na utafiti husika.
 
Mollel ni tabibu wa meno sasa haya ya virusi yeye anaangalia aliyempa cheo ana maono gani kisha anadandia gari kwa mbele
NB alipokuwa CHADEMA alitukana Sana CCM Sasa yupo Chama Twawala heshi matusi kwa Mbowe
Kama unanchukulia Kama source ya information umepotea
 
Huko ulaya magharibi hakuna nchi iliyochanja kwa kiwango cha juu watu wake kama Uingereza!! Lakini hakuna nchi iliyoshambuliwa kwa kiwango cha juu na corona aina ya omicron kama Uingereza!! Inahitaji kujitoa ufahamu kwa kiwango cha juu sana kiongozi yeyote kukomalia kuwachanja watu na chanjo ya kwanza na kuwaahidi usalama wakati waliochanjwa na chanjo tatu bado wameshambuliwa na corona kwa kiwango cha juu!! Huu ndio unaoitwa UHUNI na mwalimu wa shule ya uongozi!!
 
vp kuhusu hoja yake. ongelea na hoja yake badala ya kumhataki
 
Nichimwe mara 3? J&J ni mara moja tu. Nimekwisha maliza hiyo. Labda sasa unambie kuna J&J ya Omicron. Samia, Sirro, Mabeyo, Majaliwa, Gwajima, wamechoma J&J halafu wewe unajifanya una akili sana.

Watu zaidi ya milioni 16 wamechomwa J&J Marekani. Katika hao, waliopata kuganda kwa damu 57 tu. Waliokufa ni 7 tu. Hao 16,000,000 wasingechanjwa wangekufa maelfu na maelfu kati yao kwa corona. Hii ni sayansi, siyo emotions!

Unaweza kuchagua usichanjwe ili ufe na corona. Magufuli alichagua hivyo.
Mmeambiwa inabidi mkapige chanjo ya busta mkabustiwe.Omicron nasikia haisikii J&J
 
Msimhukumu kwa yaliyopita…kuna Jaji Mstaafu alikutana na Mwamba akaivua ghafla akaificha kwny Bible pale Kanisa la Ostybay

Enzi hizo hata Bibie alikuwa havai Barakoa na hata Head Prefect alisemaga Barakoa ni tambala la kuzuia vimate mate visiruke ruke
 
Huu ugonjwa ulianzia china
Ni kama walilianzisha tu maana ulaya ss hv ndio kila kitu maambukizi mapya chanjo nk
 
Huko ulaya magharibi hakuna nchi iliyochanja kwa kiwango cha juu watu wake kama Uingereza!! Lakini hakuna nchi iliyoshambuliwa kwa kiwango cha juu na corona aina ya omicron kama Uingereza!! Inahitaji kujitoa ufahamu kwa kiwango cha juu sana kiongozi yeyote kukomalia kuwachanja watu na chanjo ya kwanza na kuwaahidi usalama wakati waliochanjwa na chanjo tatu bado wameshambuliwa na corona kwa kiwango cha juu!! Huu ndio unaoitwa UHUNI na mwalimu wa shule ya uongozi!!
Imefika mahala wamegundua chanjo hazisaidii. Sema hawana alternatives. Wanalazimisha kila RAIA achanjwe,kwamba madhara yanapungua wakti vifo viko pale pale.
 
Nimemsikia mkubwa mmoja wa kampuni ya kutengeneza chanjo ya korona akisema korona tutakwenda nayo mpaka 2024
 
Back
Top Bottom